Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vyama vinne havijaanza kampeni Dodoma Mjini

Zikiwa zimebaki siku 37 kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, vyama vinne vilivyosimamisha wagombea ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, havijaanza kampeni kutoka na sababu mbalimbali ikiwamo ukosefu wa fedha.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi atembelea bunge mjini Dodoma leo

 Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akiwasili katika ofisi za bunge mjini Dodoma Leo  Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe.James Lembeli  Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi akisalimiana na Mhe. Muhammad Seif Khatibu. Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi, akijadiliana na Mhe.Seif  Khatib (kushoto)  na Mhe.Simbachawene. Pamoja na mambo mengine Jaji Mutungi ameelezea kuridhishwa na mwenendo wa mjadala wa Bunge maalumu  la...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPENI YA MWANAMKE NA UCHUMI YAZINDULIWA RASIMI MJINI DODOMA

Waziri wa Maendeleo Jamii Jinsia na Watoto Mh Sophia Simba akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi iliyo andaliwa na NGO ya Angels Moment Co. ltd kwa ajili ya kumkomboa mwanamke wa Kitanzania uzinduzi huo umefanyika katika Hotel ya Dodoma. Mkurugenzi wa Angels Moment co. ltd Naima Malima akisoma risala ya kuelezea madhumuni ya uzinduzi wa kampeni ya mwanamke na uchumi sherehe hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbali mbali wabunge na pamoja na baadhi ya Mawaziri Burudani...

 

10 years ago

Michuzi

DK. STEPHEN KEBWE AHITIMISHA KAMPENI YA FISTULA MJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Stephen Kebwe (aliyesimama) akizunguza wakati wa kuhitimisha kampeni dhidi ya maradhi ya Fistula katika mikoa ya kanda ya kati, mjini Dodoma jana. Waliokaa kutoka kushoto  ni Afisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Erwin Telemans, Mkuu wa Vodacom Tanzania Kanda ya kati, Mruta Hamisi na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UNFPA, Rutasha Dadi. Kampeni hiyo ilikuwa ikiendeshwa na Hospitali ya CCBRT na Vodacom Foundation ilifanyika katika mikoa mitatu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi na Wasanii wa Vyama vya Mashirikisho ya Sanaa wasisitiza kuhusu ujio wa Ujumbe wao Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma

PIX 1.

Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanamuziki Tanzania (TAMUNET) Bw. John Kitime (kushoto) akiwahutubia waandishi wa Habari pamoja na Wasanii waliohudhuria mkutano uliofanyika mjini Dodoma 27 Agosti, 2014. Kulia ni Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw. Simon Mwakifwamba.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

VIONGOZI na Wasanii toka baadhi ya Vyama na Mashirikisho ya Sanaa nchini wameendelea kuhabarisha umma juu ya ujio wa Ujumbe wao wenye malengo mawili ya msingi ya kutaka wasanii kutambuliwa...

 

10 years ago

GPL

NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII,DK STEPHEN KEBWE AHITIMISHA KAMPENI YA FISTULA MJINI DODOMA‏

Wasanii wa kundi la Mjomba band, wakiigiza kwa kufukuzwa kwa  mwanamke  aliyekuwa na maradhi ya Fistula, na mumewe ikiwa  ni ishara ya kunyanyapaliwa  kwa wenye maradhi hayo katika jamii. Onyesho hilo lilifanyika mjini Dodoma jana  wakati wa hitimisho ya kampeni dhidi ya maradhi ya Fistula iliyofanyika katika mikoa mitatu Nchini na kumalizikia katika mikoa ya kanda ya kati mjini Dodoma. Kampeni hiyo ilikuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA KAMATI ZA MAADILI ZA MAHAKAMA ZA MIKOA YA DODOMA NA SINGIDA YAHITIMISHWA MJINI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma,Mhe. Chiku Gallawa akisisitiza kamati za maadili za mahakama za mikoa ya Dodoma na Singida kusaidia kupunguza malalamiko ya wananchi juu ya masuala ya kimahakama wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya kamati hizo mjini Dodoma Feb. 10, 2015. Wajumbe wa Kamati za Maadili za Mahakama za Mikoa ya Dodoma na Singida wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa wakati akifunga mafunzo ya siku mbili kwa kamati hizo Mjini Dodoma Feb. 10, 2015.

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI DODOMA AKUTANA NA KUONGEA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA TARAFA YA DODOMA MJINI

Na: Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema jukumu la kwanza la serikali za mitaa ni kuwahakikishia wananchi wake usalama, amani, utulivu na utengamano hivyo ni jukumu la watendaji wa kata, mwenyekiti wa Mitaa na vitongoji kusaidia kuimarisha ulinzi katika maeneo yetu.
Amesema hayo alipokutana na Viongozi wa mbalimbali wa Tarafa ya Dodoma mjini katika Ukumbi wa Polisi Dodoma...

 

9 years ago

Mwananchi

Hongera vyama kwa kampeni za kistaarabu

Ni takriban siku 15 tagu kampeni zilipoanza rasmi kwa mujibu wa ratiba ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwa bahati nzuri hakuna matatizo makubwa ambayo yametokea hadi sasa.

 

10 years ago

Vijimambo

RPC DODOMA ONGEA NA VIONGOZI WA TARAFA YA DODOMA MJINI KUHUSIANA NA HALI YA ULINZI NA USALAMA PAMOJA NA MATISHIO YA UGAIDI MKOANI HUMO

 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime - SACP akitoa elimu juu ya hali ya ulinzi na usalama na matishio ya kiuhalifu katika kikao kilichojumuisha wakuu wa vyombo vya dola Mkoa wa Dodoma, viongozi mbalimbali wa mkoa wa Dodoma pamoja na viongozi wa diniBalozi Mstaafu Job Lusinde Mwenyekiti wa Baraza la wazee Mkoa wa Dodoma  akiongea jambo wakati wa utoaji elimu iliyotolewa kwa viongozi wa mkoa wa Dodoma ili kuhimarisha ushirikiano na kuondoa machafuko ambayo yanaweza kutokea.
 Padre...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani