MSIBA WA KADA WA CHADEMA KALOLO, VYAMA VYAWEKA UPINZANI PEMBENI NA KUFANYA MAZISHI YA KIHISTORIA
Diwani wa kata ya Mvinjeni Frank Nyalusi Chadema akiweka udongo
Ndugu wakiweka mashada
Ndugu wa kalolo kutoka Kenya akiweka shada
Kamanda wa UVCCM mkoa wa Iringa Salim Asas akiweka shada la maua katika kaburi la kada maarufu wa Chadema mkoa wa Iringa Gervas Kalolo wakati wa mazishi yaliyofanyika makaburi ya Mtwivila mjini Iringa
Mstahiki meya Amani Mwamwindi akiweka shada la maua.
Kwa habari kamili na picha zaidi BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima27 Mar
Wajumbe washauri kuweka pembeni itikadi za vyama
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Josephine Chagula, amewataka wajumbe wa Bunge hilo kuweka pembeni tofauti zao za vyama na badala yake wajadili mambo yenye maslahi kwa taifa. Akizungumza na...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Wasira aongoza mazishi ya kada wa CCM Singida
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwasikiliza Wazee waasisi wa CCM kutoka mkoani Singida, Kutoka kulia ni Sumbu Galawa, Alhaji Mahami Rajabu Kundya (ambaye ni marehemu) na Mujengi Gwao Makamu, walipomfikishia ujumbe wao maalum, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, Januari 15, 2013.(Picha na Maktaba)
Na Nathaniel Limu
Waziri Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu, Stephen Wasira juzi ameongoza mamia ya wakazi wa mkoa wa Singida katika...
11 years ago
GPLLOWASSA ASHIRIKI MAZISHI YA KADA WA CCM MONDULI
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.
10 years ago
Mwananchi04 Aug
Chadema yamweka pembeni Dk Slaa
9 years ago
Global Publishers05 Jan
Watumishi wa kada za afya watakiwa kufanya kazi kwa kufuata maadili
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akimjulia hali mama aliyejifungua kwenye wodi ya wazazi hospitali teule ya rufaa ya mkoa wa Geita.(Picha Zote na Catherine Sungura WAMJW-GEITA).
Tabibu wa kituo cha afya Nyankumbu, Abdallah Kiroboto akimsikiliza Waziri Ummy mara alipoingia kwenye chumba cha kutolea huduma, pembeni ni mama aliyefika kituoni hapo na watoto wake kupata matibabu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto, Mh. Ummy...
11 years ago
BBCSwahili28 Jan
Vyama vya upinzani vyaungana A.Kusini
9 years ago
Mwananchi16 Dec
Kada Chadema ashinda udiwani akiwa gerezani
9 years ago
Mtanzania04 Sep
kada CCM akiri kuhusika na Chadema ‘feki’
NA ASIFIWE GEORGE, DAR ES SALAAM
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Didas Masaburi, amekiri kukutana na vijana wanaodaiwa kujifanya wafuasi wa Chadema walioandamana jijini Dar es Salaam kupongeza hatua ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk. Willibrod Slaa, kuacha siasa na kushambulia chama chake.
Juzi vijana hao waliandamana wakiwa na lengo la kwenda makao makuu ya Chadema kabla ya kutawanywa na wananchi.
Tangu asubuhi ya jana, sauti ya Masaburi ilikuwa ikisambazwa kwenye mitandao ya...