WAKATI TUNAINGIA 2015, TUJIKUMBUSHE MIKATABA MIBOVU ILIYOIGHARIMU NCHI
Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Mhongo. MUNGU ni mwema na ndiyo maana leo wasomaji wa safu hii mnaisoma huku mkiwa na afya njema. Tumhimidi Mungu aliyetuumba milele, amina. Baada ya kusema hayo niseme machache kuhusu mikataba mibovu ambayo imeiingizia taifa hili hasara kubwa ambayo taifa linahujumiwa. Mikataba hii inanifanya nijiulize, baadhi ya watu, Watanzania wanasoma na kupewa nyadhifa za kufanya kazi kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Sitta: Sheria ya gesi itadhibiti mikataba mibovu
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Kuweni makini na mikataba kazi nje ya nchi - ushauri
5 years ago
CCM Blog![](https://3.bp.blogspot.com/-Ghoa1QUm7TA/VdybRc19stI/AAAAAAAC-CA/ISG0Ifn31xE/s72-c/_MG_6249.jpg)
TUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS 2015: DKT MAGUFULI AZIDI KUPASUA ANGA KWA KISHINDO MKOANI RUKWA
![](https://3.bp.blogspot.com/-Ghoa1QUm7TA/VdybRc19stI/AAAAAAAC-CA/ISG0Ifn31xE/s640/_MG_6249.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-BsaIiqPuEfU/VdybQoxK4EI/AAAAAAAC-B0/JMDNIDl8J9w/s640/_MG_6257.jpg)
5 years ago
CCM BlogTUJIKUMBUSHE KAMPENI ZA URAIS TANZANIA 2015: DK MAGUFULI AVUNJA REKODI YA UKAWA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI MBEYA
9 years ago
Mtanzania11 Sep
Watake wasitake Ikulu tunaingia — Lowassa
NA MAREGESI PAUL, KONGWA
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema ana uhakika wa kuingia Ikulu kwa kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Kutokana na hali hiyo, amewataka wanaomkosoa wawe wanajibu hoja kwa kuwa yeye ana utaratibu wa kuwaeleza Watanzania atawafanyia nini baada ya kuingia madarakani.
Lowassa alitoa kauli hiyo jana wakati akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Kibaigwa,...
10 years ago
MichuziCHUO KIKUU CHA BAGAMOYO (UB) CHATOA MAFUNZO KWA MAOFISA WA SERIKALI KUTOKA NCHI 15 KUHUSU UANDIKAJI WA MIKATABA YA UWEKEZAJI NA BIASHARA
9 years ago
Mzalendo Zanzibar21 Oct
Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani?
. Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha “kiulinzi” kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu. Serikali imeweka majesho yote kwenye Red alert, polisi wamekabidhiwa magari […]
The post Haya yote ya nini JK wakati nchi haiko vitani? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
GPLMIUNDOMBINU MIBOVU YASABABISHA AJALI DAR
11 years ago
Tanzania Daima10 Jun
Wafanyabiashara wa matunda walia na miundombinu mibovu
MATUNDA ni lishe muhimu kwa binadamu, lakini yanahitaji uhifadhi mzuri kabla ya kuliwa. Kwa mfanyabiashara, matundani mali ingawa kuoza ni rahisi. Yakiwa mabichi yanaweza kuuzwa kwa bei nzuri, lakini yakishaanza...