Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MIUNDOMBINU MIBOVU YASABABISHA AJALI DAR

Muonekano wa sehemu ya barabara ilivyomeguka. Daladala iliyokwanguliwa wakati wa ajali hiyo. Trafiki akikagua eneo la tukio baada ya daladala hizo kugongana.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Wafanyabiashara wa matunda walia na miundombinu mibovu

MATUNDA ni lishe muhimu kwa binadamu, lakini yanahitaji uhifadhi mzuri kabla ya kuliwa. Kwa mfanyabiashara, matundani mali ingawa kuoza ni rahisi. Yakiwa mabichi yanaweza kuuzwa kwa bei nzuri, lakini yakishaanza...

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA AJALI MSIMBAZI CENTRE JIJINI DAR LEO

Watu wakishuhudia gari lililogongwa. Toyota Prado lililogonga gari dogo likishuhudiwa na wananchi.
Sehemu ya…

 

10 years ago

Michuzi

ajali ya moto yasababisha maafa ukonga Kipunguni usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam

Majirani wakiondoa vitu kwenye nyumba iliyoungua moto usiku wa kuamkia leo na kusababisha watu sita kupoteza maisha huko Ukonga Kipunguni jijini Dar es salaam. Chini ni baadhi ya ndugu, jamaa na majirani wakiwa katika simanzi. Habari zaidi zitakuja baada ya kuthibitishwa na mamlaka husika.

 

10 years ago

GPL

MAKALIO YA AUNTY LULU YASABABISHA AJALI

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa, anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho. Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ Akizungumzia makalio yake na matiti...

 

10 years ago

Mwananchi

Malori ya TZ yasababisha ajali 227 nchini Zambia

>Wakati Serikali na wadau wa usafiri wakiendelea kutafuta mwarobaini wa ajali nchini, imeelezwa kuwa malori ya Tanzania yamesababisha ajali 227 nchini Zambia kati ya Januari na Mei.

 

5 years ago

CCM Blog

AJALI YA TRENI YA UOKOAJI NA KIBERENGE YASABABISHA VIFO VYA WATUMISHI WATANO WA TRC

Na Mwandishi Maalum, TRC
Watumishi watano wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefariki dunia kufuatia  ajali ya Treni ya Uokoaji kugongana na Kiberenge No.HDT-3 katika maeneo yaliyopo kati ya stesheni za Mwakinyumbi na Gendagenda, eneo liliilopo katika Reli inayotoka Ruvu Junction  mpaka Mruanzi Junction, jana, Machi 22, 2020.

Taarifa ya TRC imewataja waliokufa kuwa ni Ramadhani Gumbo wa DTM Tanga, Injinia Fabiola Moshi wa DME Dar es Salaam, Joseph Komba wa ATM Dar es Salaam, Philip Kajuna...

 

11 years ago

Michuzi

BODI YA KUCHUNGUZA AJALI YA MV KILIMANJARO 2 YAKABIDHI RIPOTI KWA WAZIRI WA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO ZANZIBAR

Na Nafisa M. Ali  Bodi ya kuchunguza ajali ya Meli ya MV. Kilimanjaro 2 leo imekabidhi rasmi Ripoti ya ajali hiyo baada ya kumaliza kazi hiyo kwa Waziri wa Miundo mbinu na Mawasiliano Rashid Seif Suleiman Ofisini kwake Kisauni nje kidogo ya mji wa Zanzibar.  Akikabidhi Ripoti hiyo Mwenyekiti wa Bodi hiyo Khamis Ramadhan Abdallah amesema kazi hiyo waliyopewa wameweza kuimaliza kwa mujibu wa siku walizopewa na walikuwa huru bila ya kuingiliwa na mkono wa Serikali wala Taasisi yoyote.  Aidha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Bomoabomoa yasababisha simanzi Dar es Salaam

Serikali Tanzania imeanza kubomoa nyumba zote zilizojengwa kinyume na sheria katika maeneo ya wazi na maeneo ya hifadhiya barabara.

 

10 years ago

GPL

MVUA YASABABISHA KERO KWA WANANCHI DAR

Watembea kwa miguu wakipita kwa tabu eneo la Afrika-Sana. Magari pamoja na Bajaj zikionekana kupita kwa tabu eneo la Afrika-Sana Eneo la Bamaga…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani