Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakazi wa Dar mnatambua uwepo wa Ziwa Mwananyamala??

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI KUCHUKUA HATUA ZA HARAKA KUNUSURU ZIWA BASSOTU KUJAA NA KUSABABISHA MAAFA KWA WAKAZI WA KARIBU NA ZIWA HILO

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akiangalia namna Ziwa Basotu wilayani Hanang mkoani Manyara lilivyofurika na kuziba barabara katika eneo hilo alipofanya ziara mkoani humo.

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Azzan Zungu akipimwa joto la mwili alipowasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Manyara kwa ajili ya ziara wilayani Hanang kuangalia athari za kufurika kwa Ziwa Basotu na kuzingira makazi ya wanachi.

 

11 years ago

Michuzi

WAKAZI WA KIJIJI CHA KABWE WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA WAFAIDIKA NA UVUVI WA SAMAKI ZIWA TANGANYIKA

 Baadhi ya akina mama wanaojishughulisha na biashara ya samaki,wakiwa wametoka bandari ya Kabwe,Wilayani Nkasi mkoani Rukwa mapema leo,ambapo dishi moja kama uonavyo pichani huuzwa kati ya shilingi Elfu 30,000/=  Akina mama wakiwa na madishi yao ya samaki,akina mama wengi eneo hilo wameeleza kuwa wanafaidika na biashara hiyo ya samaki kwa kujiingizia kipato na hatimaye kujikwamua na ugumu wa maisha,wameeleza kuwa changamoto yao kubwa ni mitaji ya kutosha ili kuendeleza biashara hiyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Watoto mnatambua maana ya heshima!

‘Nimeketi kwenye kiti changu hapa barazani nikitazama wapita njia ingawa macho yangu hayaoni vizuri kama wewe mjukuu wangu.

 

10 years ago

GPL

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA, DAR

Nyumba iliyoteketea kwa moto. Mashuhuda wa tukio wakitazama nyumba iliyoungua.…

 

11 years ago

GPL

GARI KUBWA LAHARIBU BARABARA MWANANYAMALA, DAR

   Gari kubwa ‘likilazimisha’ kupita barabara finyu eneo la Mwananyamala, Dar. Eneo la mtaro na barabara lililoharibiwa na gari hilo kubwa.  …

 

11 years ago

GPL

MVUA YAZIBA MITAA KIBAO MWANANYAMALA, DAR

Mvua inayoendelea kunyesha jijini Dar imeanza kuathiri baadhi ya maeneo ambapo kamera yetu imewanasa wakazi wa mtaa wa Mwananyamala B kwa Msisiri wakijaza kifusi katika moja ya barabara zilizojaa maji kiasi cha kuifanya ishindwe  kutopitika kama picha zinavyoonyesha. (PICHA:CHANDE ABDALLAH NA DEOGRATIUS…

 

11 years ago

Michuzi

NYUMBA YATEKETEA KWA MOTO MWANANYAMALA JIJINI DAR LEO

Gari ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likiwa eneo la Mwanyamala mapema leo mchana,ambapo moto mkubwa umezuka na kuteketeza nyumba nzima na  mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake haikujulikana mapema,tukio hilo limetokea maeneo ya Mwananyamala jirani na hospitali ya Mwananyamala.Baadhi ya watu wakishuhudia tukio la Moto lililotokea mapema leo mchana,ambapo moto huo umeteketeza nyumba nzima na mali zilizokuwemo,ambazo thamani yake mpaka Globu ya jamii inaondoka eneo la tukio haikufahamika.

 

11 years ago

GPL

MASKINI! KICHANGA CHATUPWA ENEO LA MTO NG'OMBE MWANANYAMALA, DAR

Kichanga kikiwa kimetupwa eneo la mto Ng'ombe Tandale jijini Dar. Wakazi wa Tandale wakiwa eneo la mto Ng'ombe kushuhudia tukio hilo. MWILI wa kichanga kinachokadiriwa…

 

11 years ago

GPL

MPOTO AZINDUA WIMBO WA ‘WAITE’ OFISINI KWAKE MWANANYAMALA DAR

Mgeni rasmi, Meya wa Kinondoni,  Mhe. Yusufu Mwenda akisaini kitabu cha wageni. Mpoto Kulia akitoa maelezo kwa mgeni rasmi (hayupo pichani).…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani