Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoto mnatambua maana ya heshima!

‘Nimeketi kwenye kiti changu hapa barazani nikitazama wapita njia ingawa macho yangu hayaoni vizuri kama wewe mjukuu wangu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kwanini familia zimekuwa 'zikiwauwa kwa heshima' watoto wao wa kike Pakistani?

Wanaume pia hulengwa , na ndugu za wanawake ambao wanadaiwa kushiriki nao katika uhusiano wa kimapenzi.

 

11 years ago

Mwananchi

Je, unafahamu maana ya rangi hizi?

Ukiachilia mbali ulimwengu wa soka, hususan kwa hapa nchini kwa kuzitafsiri rangi nyekundu na njano kama rangi zinazowawakilisha watani wa jadi wa timu za Yanga na Simba, ulimwengu wa mitindo unatafsiri rangi hizo tofauti linapokuja suala zima la mavazi.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Wiki ya Maji’ imepoteza maana?

Maadhimisho ya ‘Wiki ya Maji’, ambayo hufanyika Machi 16 hadi Machi 22 kila mwaka yalianza jana nchini kote. Mwaka huu maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa mkoani Mara na Serikali imesema kauli mbiu ya mwaka huu ni ‘Maji kwa Maendeleo Endelevu’. 

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru una maana gani?

Thailand ndio nchi ya tatu duniani inayoongoza kwa kusafirisha nje mazao ya baharini.Je unajua kama mabaharia wengi ni watumwa?

 

9 years ago

Mwananchi

SAIKOLOJIA : Je, unajua maana ya akili?

Siku moja niliwakuta walimu watatu wakibishana kuhusu uwezo wa wanafunzi wao. Mmoja alisema John ana akili zaidi kuliko Ali.

 

11 years ago

Michuzi

JE WAJUA MAANA HALISI YA NENO BRAZUCA?

 Na Sultani Kipingo

"BRAZUCA" 

ni neno jipya lililo midomoni pa wengi ulimwenguni hivi sasa, japo si watu wote wanaojua maana yake. Subiri nikupashe. "Brazuca" si kitu kingine bali ni  jina la mpira  unaotumika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea chini Brazil hivi sasa. 

Neno hilo lina maana mbili. Ya kwanza ni neno la nchi hiyo kwa wa-Brazil wanaoishi nje ya nchi – yaani Diaspora. Maana ingine, neno hilo lina maana ya kujivunia, kuufurahia na kutambia u-Brazil kwa watu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumbe ndiyo maana Tanzania haiendelei

>Januari 12 mwaka huu wakati Wazanzibari wakisherehekea miaka 50 ya Mapinduzi, Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein alihitimisha hotuba yake kwa kusema kuwa siku ya Jumatatu, Januari 13 itakuwa ni mapumziko kwa Wazanzibari.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru una maana gani kwako?

Ikiwa ni msimu maaalum ambapo BBC inaangazia maswala ya uhuru tuliwaomba wasomaji wa habari kwenye mtandao kutuma picha zinazoonyesha maoni yao ya uhuru.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani