Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASKINI! KICHANGA CHATUPWA ENEO LA MTO NG'OMBE MWANANYAMALA, DAR

Kichanga kikiwa kimetupwa eneo la mto Ng'ombe Tandale jijini Dar. Wakazi wa Tandale wakiwa eneo la mto Ng'ombe kushuhudia tukio hilo. MWILI wa kichanga kinachokadiriwa…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

KICHANGA CHATUPWA BUNJU DAR

Muonekano wa mwili wa kichanga hicho baada ya kutupwa . Mashuhuda wakiwa eneo la…

 

11 years ago

GPL

KICHANGA CHATUPWA, MAMA YAKE ATIWA NGUVUNI

Mama anayedaiwa kutupa kichanga akiwa na mwanae wa kwanza. Difenda la polisi likiwa eneo la tukio kuchukua mtuhumiwa na mwili wa kichanga.…

 

10 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO KATIKA DARAJA LINALOUNGANISHA ENEO LA TANDALE NA MWANANYAMALA JIJINI DAR

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika hili ni Daraja lilalounganisha eneo la Tandale na Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ambapo wananchi wanaokaa maeneo ya jirani na Daraja hilo waliamua kukusanya viroba vilivyosheheni taka ngumu na kuwevilundika kwenye kingo za Daraja hilo ili kudhibiti maji yasiendelee kuchimba njia hiyo. Hali hii imekuja kutokana na mafuriko ya maji yaliyotokea hivi karibuni katika maeneo mengi hapa jijini kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha.
Hali ilivyo katika...

 

11 years ago

GPL

REDD'S MISS CHANG'OMBE ZAWADI ZA WASHINDI ZATANGAZWA

Mratibu wa Shindano la kumtafuta mrembo wa Redd's Miss Chang'ombe, Tom Chilala (katikati),akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, leo wakati wa kuitangaza zawadi za washindi. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Marie Stopes, Dk. Jophn Bosco na Ofisa Uhusiano  wa TV1, Mponjoli Katule.…

 

10 years ago

GPL

MSANII WA TMK WANAUME FAMILY, YP AZIKWA MAKABURI YA CHANG'OMBE DAR

Wasanii wa Bongo Fleva wakiuaga mwili wa marehemu Yesaya Ambikile 'YP' katika Viwanja vya TCC Chang'ombe, Dar es Salaam. Waombolezaji wakiwa katika msiba wa msanii wa Bongo Fleva, Yesaya Ambikile 'YP' kwenye Viwanj vya TCC, Chang'ombe, Dar.…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA GURUMO KUSTAAFU MUZIKI LAFANA TCC CHANG'OMBE, DAR

Gurumo (kulia) akipagawisha huku akisindikizwa na Hafsa Kazinja na Hussein Jumbe (kushoto). Hussein Jumbe na mcharaza gitaa maarufu, Miraj Shakashia 'Shakazulu' wakinogesha mambo. Sehemu ya…

 

10 years ago

GPL

MAFURIKO 'YALIVYOLIZAMISHA' ENEO LA KONA YA SHEKILANGO/BAMAGA

Maji yakiwa yamejaa katika barabara ya Shekilango eneo la Bamaga leo. Vyombo vya moto vikiendelea kupita taratibu katika eneo hilo.…

 

10 years ago

GPL

CHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE

Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…

 

11 years ago

GPL

UPENDO WOMEN'S GROUP BRUSSELS UBELGIJI WAICHANGIA HOSPITALI YA MWANANYAMALA‏

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Dk. Diodorus Kamala akifungua hotuba yake katika hafla ya uchangishaji wa fedha kwa ajili ya akina mama na watoto waliopo katika wakati mgumu hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Kenya nchini Ubelgiji Johson Uweru na pembeni yake ni Mwakilishi kutoka Madagascar Norbet Richard Ibrahim. Kulia kwa Dk. Kamala ni Balozi wa Burundi Dk. Felix.
Upendo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani