Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA MBEYA WAFURIKA KWENYE SEMINA YA KAMATA FURSA

Msanii Mrisho Mpoto akiongea na wakazi wa Mbeya waliojitokeza kwenye Semina ya Kamata Fursa mapema leo ndani ya Ukumbi wa Benjamini Mkapa. Msemaji kutoka GS One, Pius Mkongoti akiongea na wakazi wa Mbeya waliokuwa wamefurika kwenye Semina ka Kamata Fursa, tayari kwa kuwapa mbinu za kutomia huduma ya Bar code. Msanii wa Muziki wa Bongo…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WAKAZI WA MKOA WA RUVUMA WAFURIKA KWENYE SEMINA YA FURSA

Mkuu wa Wilaya ya Ruvuma, Joseph Mkirikiti akiteta jambo na Mkurugenzia wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Ruge Mutahaba wakati semina hiyo ilipokuwa ikiendelea ndani ya Ukumbi wa Songea Club.…

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA KAMATA FURSA,JITATHIMINI,JIAMINI,JIONGEZE YAFANYIKA MJINI DODOMA

Mrisho Mpoto akimkabidhi kifaa cha kupimia magari mmoja wa wakazi wa Dodoma Beatrice Chilewa (kulia), muda mfupi baada ya kujishindia moja ya swali lililoulizwa na msemaji wa GS1, Pius Mikongoti, ambalo lilikuwa likimtaka ataje nchi tatu za Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazotoa Barcode na namba za utambulisho wa nchi hizo, wa kwanza kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Josekazi Auto Garage ambaye ndiye mmiliki wa kifaa hicho cha kupimia magari.
MKURUGENZI wa Vipindi na Uzalishaji...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA KAMATA FURSA, JITATHIMINI, JIAMINI, JIONGEZE YAFANYIKA MJINI DODOMA

Mrisho Mpoto akimkabidhi kifaa cha kupimia magari mmoja wa wakazi wa Dodoma Beatrice Chilewa (kulia), muda mfupi baada ya kujishindia moja ya swali lililoulizwa na msemaji wa GS1, Pius Mikongoti, ambalo lilikuwa likimtaka ataje nchi tatu za Kusini mwa Jangwa la Sahara zinazotoa Barcode na namba za utambulisho wa nchi hizo, wa kwanza kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa kampuni ya Josekazi Auto Garage ambaye ndiye mmiliki wa kifaa...

 

10 years ago

GPL

SERENGETI FIESTA KAMATA FURSA YAWASISIMUA WAKAZI WA MUSOMA

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mtahaba akifungua Semina ya Kamata Fursa Jitathimini, Jiamini kisha Jiongeze mapema leo kwenye Ukumbi wa Bwaro la Magereza mjini Musoma. Mkuu wa Mkoa wa Busega, Paul Mzindakaya akiwaonyesha fursa mbalimbali wakazi wa Musoma.…

 

10 years ago

Michuzi

SEMINA YA FURSA YAWAONESHA DIRA WAKAZI WA SHINYANGA

  SEMINA ya Kamata Fursa Jitathimini,Jiamini,Jiongeze inayoendeshwa sambamba na burudani za Serengeti Fiesta 2014, jana imeendelea kwa kuwapatia dira ya maisha na namna ya kuwafanya wajikwamue kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi wakazi wa Mkoa wa Shinyanga mjini ndani ya Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Uhuru iliyopo mjini humo.Semina hiyo ambayo imeongozwa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (pichani juu) ilikuwa ya aina yake, kwani baadhi ya...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA FURSA YAWAONYESHA NJIA WAKAZI WA DODOMA

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group, Ruge Mutahabaakiongea na baaddhi ya wakazi wa Dodoma mjini waliyohudhuria kwenye Semina ya Kamata Fursa ndani ya Ukumbi wa Royal Villege mapema leo,ambapo aliweze kuongea nao na kuwapatia mbinu mbalimbali za kujikwamua kupitia lasilimali zilizopo kwenye mazo yapatikanayo ndani ya mkoa huo. Msemaji kutoka G5 One, Pius Mikongoti akiwalezea wakazi wa Dodoma namna ya...

 

10 years ago

GPL

SEMINA YA FURSA YAWAONYESHA DIRA WAKAZI WA SHINYANGA

Mkurugenzi wa Vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mutahaba (katikati), akifuatilia semina ya Kamata Fursa na  Meneja wa Maxcom Africa, ‘Max malipo’,  Bernard Munubi wa kwanza (kushoto), akiwa na Afisa Mwanadamizi wa GSI Tanzania,Pius Mikongoti. Msanii wa Bongo Fleva Ditto akiongea na wakazi wa Shinyanga kwenye semina ya Kamata Fursa.… ...

 

10 years ago

Michuzi

NSSF YATOA FURSA KWA WAKAZI WA MBEYA NA SONGEA

Kupitia Semina za Fursa zinazoendelea kufanyika katika mikoa mbali mbali hapa nchini, Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) imekuwa ikitoa Elimu ya Hifadhi ya Jamii kwa wananchi na kuwahamasisha kujiunga na mfuko huo ili waweze kunufaika na mafao ya NSSF hususani matibabu bure kwa mwanachama na wategemezi wake pamoja na mikopo kupitia SACCOS.
Fursa nyingine kutoka NSSF ambazo mwanachama anaweza kunufaika nazo ni pamoja na Pensheni ya uzeeni, Pensheni ya Ulemavu, Pensheni ya Urithi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani