SEMINA YA FURSA YAWAONESHA DIRA WAKAZI WA SHINYANGA

SEMINA ya Kamata Fursa Jitathimini,Jiamini,Jiongeze inayoendeshwa sambamba na burudani za Serengeti Fiesta 2014, jana imeendelea kwa kuwapatia dira ya maisha na namna ya kuwafanya wajikwamue kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi wakazi wa Mkoa wa Shinyanga mjini ndani ya Ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Uhuru iliyopo mjini humo.Semina hiyo ambayo imeongozwa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (pichani juu) ilikuwa ya aina yake, kwani baadhi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
SEMINA YA FURSA YAWAONYESHA DIRA WAKAZI WA SHINYANGA
11 years ago
GPL
SEMINA YA FURSA YAWAONYESHA NJIA WAKAZI WA DODOMA
11 years ago
GPL
WAKAZI WA MKOA WA RUVUMA WAFURIKA KWENYE SEMINA YA FURSA
11 years ago
GPL
WAKAZI WA MBEYA WAFURIKA KWENYE SEMINA YA KAMATA FURSA
11 years ago
Michuzi
WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA



11 years ago
CloudsFM03 Oct
11 years ago
GPL
SEMINA YA FURSA 2014 YAFANYIKA MJINI SINGIDA
11 years ago
Vijimambo
Semina ya Fursa 2014 yafanyika Mjini Singida leo



10 years ago
Vijimambo
WAFANYABIASHARA MKOANI SHINYANGA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BIASHARA KATIKA MIGODI YA ACACIA



