Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAKAZI WA MKOA WA MOROGORO WAIPOKEA KAMPENI YA "M-PAWA TUMEKUFIKIA" KWA KISHINDO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Stamina akiwaburudisha mashabiki wake ambao ni wakazi wa Morogoro kwenye tamasha lililoandaliwa na Vodacom Tanzania kwa ajili ya kutoa elimu ya huduma ya M-Pawa kupitia kampeni yake ya ‘M-Pawa Tumekufikia’ yenye lengo la kuwaelimisha wateja wake nchi nzima kuhusiana na manufaa ya huduma hiyo inayowawezesha kujiwekea akiba na kujipatia mikopo nafuu kwa urahisi zaidi. Tamasha hilo lilifanyika katika viwanja vya soko la mawenzi mkoani morogoro jana. Mtoto...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AMALIZA KAMPENI ZAKE MKOA WA LINDI,AANZA MKOA WA PWANI KWA KISHINDO

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,kupitia chama cha Mapinduzi Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkuranga jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni.Dkt Magufuli amemaliza kampeni zake mkoa wa Lindi na baade ameendelea na kampeni zake ndani ya mkoa wa Pwani,ambapo anatarajia kujinadi maeneo mbalimbali ya mkoa Pwani katika kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza wananchi katika awamu ya tano,katika uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu.Mgombea Urais wa...

 

9 years ago

Vijimambo

WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAIPOKEA CCM KWA MIKONO MIWILI, WASEMA MAGUFULI NI RAIS AJAYE

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na Maelfu ya watu.Picha na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wakazi wa jiji la Mwanza na vitongoji vyake katika uwanja wa Fraisha kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za CCM zilizohudhuriwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Kampeni ya “Wait to Send” yaendelea Mkoa wa Pwani na Morogoro

Ofisa wa Jeshi la Polisi – Kikosi cha Usalama Barabarani, Inspekta Notker Kilewa (kulia) akielimisha abiria wa basi liendalo Morogoro wakati wa operesheni ya usalama barabarani iliyofanyika leo Mkoani Pwani kwa kushirikiana na kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa kampeni ya Usalama Barabarani ya “Wait to Send” inayohamasisha madereva wa vyombo vya moto kutokutumia simu za mkononi wakati wakiwa wanaendesha vyombo hivyo pamoja na kuwapima madereva kiwango cha...

 

5 years ago

Michuzi

MKOA WA MOROGORO KUUNGANISHWA NA MKOA WA NJOMBE NA RUVUMA KWA BARABARA ZA LAMI

 Na Mwandishi Wetu

NAIBU Waziri wa Ujenzi Elias Kwandikwa, amesema sasa Serikali iko katika hatua za kuunganisha mkoa wa Morogoro na mikoa jirani ya Njombe na Ruvuma kwa barabara ya lami ili kufungua mikoa hiyo yenye uzalishaji mwingi wa mazao, misitu na chakula.

Amezungumza hayo akiwa katika eneo la Kisegesa iliyopo katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro baada ya kukagua eneo lililokarabatiwa na Wakala wa Barabara (TANROADS), ambalo lilipata athari kubwa za mvua...

 

10 years ago

Mwananchi

RC mpya aingia kwa kishindo Morogoro

Mkuu mpya wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ametoa siku 30 kwa wakuu wa wilaya mkoani hapa, kudhibiti uchomaji wa mkaa na kuondoa magunia yote katika barabara kuu.

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza

magufuli3

Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha  ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).

CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.

Kufunga Kampeni

CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo.  Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

MENEJIMENTI YA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUKWA YAMPONGEZA MKUU WA MKOA HUO ENG. STELLA MANYANYA KWA USHINDI WA KISHINDO KURA ZA MAONI CCM JIMBO LA MBINGA MAGHARIBI

Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa ambaye pia ni Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu Ndugu Erasmus Rugarabamu kwa niaba ya Menejimenti ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa akitoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya ambaye pia ni Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma kwa ushindi mnono alioupata katika kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kutafuta mgombea wa ubunge Jimbo la Mbinga Magharibi. Eng. Manyanya alishinda kwa kura 13,276 ambapo mshindi wa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Ridhiwani azindua kampeni kwa kishindo

Chama Cha Mapinduzi kimezindua kampeni katika Jimbo la Chalinze kwa kishindo, huku viongozi wa kitaifa wakimwombea kura, Ridhiwani Kikwete ili awaletee maendeleo.

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA AMALIZA KAMPENI KWA KISHINDO

Mh Edward Lowassa, akihutubia mkutano wa kufunga kampeni zake JangwaniMamia n mamia wakifuatilia mkutano wa UKAWA.
Wananchi wakihudhuria mkutano wa UKAWA jangwani.Mfuasi wa UKAWA akifuatilia mkutano.
Mkutano ukiendelea.Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wa mwisho wa kampeni Jangwani siku ay Jumamosi October 24, 2015.Ni mabango kwa kwenda mbele.Tumaini letu ni Lowassa.Mkutano ukiendelea katika viwanja vya Jangwani.Wafuasi wa UKAWA wakifuatilia mkutano wao wa mwisho.
Wafuasi lukuti wakiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani