Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakimaliza kuwahoji mawaziri, wamrudie aliyewateua

>Wakiwa katika ziara za kujenga chama chao katika mikoa ya Kusini hivi karibuni, viongozi wa Sekretarieti ya CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana, walitaja baadhi ya mawaziri waliowaita kuwa ni mizigo ndani ya Serikali.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Ni hatari kuacha CC ya chama kuwahoji na kuwapima mawaziri

KUNA jambo la hatari limetokea nchini, ambalo tumelikubali na kuona kuwa ni halali. Jambo hili litakuwa na matokeo na yawezekana tayari limekuwa na matokeo katika utendaji kazi wa serikali pale...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni muda wa kuwahoji wagombea

Kila unapofanyika Uchaguzi Mkuu nchini idadi kubwa ya wabunge huwa hawarudi bungeni, kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao kugombea tena nafasi hiyo.

 

10 years ago

GPL

NI ZAMU YETU KUWAHOJI WAGOMBEA

Mwenyekiti wa tume ya katiba, Jaji Damian Lubuva. WOTE tulio hai tena wenye afya tele hatuna budi kumtukuza Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Baada ya kusema hayo niwakumbushe tu kwamba kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa nchi, wabunge wengi hawarudi bungeni, yaani wanatemwa na wapiga kura wao  kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao...

 

11 years ago

Mwananchi

Mshtakiwa ahoji mkuu wa magereza kuwahoji

Mshtakiwa mmoja kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Dk Sengondo Mvungi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amedai hawana imani na mkuu wa magereza kutokana na kuwahoji vitu wasivyovielewa kuhusiana na kesi yao wakati wakiwa gerezani.

 

11 years ago

Habarileo

CCM kuwahoji wanachama wanaotangaza nia kiaina

Philip MangulaKUTOKANA na kushamiri kwa kile kinachoonekana kampeni za chini kwa chini kuelekea katika chaguzi zijazo nchini, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinatarajia kuwaita na kuwahoji baadhi ya wanachama wake wanaokiuka kanuni na maadili ya chama hicho kwa kuanza kampeni kabla ya muda unaoruhusiwa.

 

9 years ago

StarTV

Kuelekea uchaguzi mkuu Wananchi watakiwa kuwahoji wagombea Wao

Zikiwa zimesalia siku chache kupiga kura, watanzania wamekumbushwa  kuendelea kuwahoji wagombea katika dakika hizi za lala salama ili waweze kumbaini mgombea mwenyenia ya kuleta maendeleo ya kweli.

Kitendo cha kuwahoji wagombea bila kujali itikadi ya vyama vyao kinatoa fursa kwa wananchi kumtambua kila mgombea  katika kuchochea mabadiliko.

 Ni katika mdahalo ulioandaliwa na taasisi ya Wazo huru ukiwakutanisha wabunge wa jimbo la Nyamagana lengo likiwa ni kushindanisha sera za vyama...

 

10 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA

Mwenyekiti wa Kamati Maalumu ya Kuhoji Waomba Hifadhi (NEC), Faraja Nchimbi (watatu kushoto), Katibu wa Kamati hiyo, Philo Nombo (watatu kulia) ambaye anamwakilisha Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi nchini, wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati hiyo baada ya kuwahoji waomba hifadhi katika Kambi ya Wakimbizi ya Nyarugusu, iliyopo Wilaya ya Kasulu, mkoani Kigoma. Waombaji hao wanatoka nchi mbalimbali ambapo wengi wao wanatoka nchini Kongo. Zaidi ya waomba hifadhi 300...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani