Ni hatari kuacha CC ya chama kuwahoji na kuwapima mawaziri
KUNA jambo la hatari limetokea nchini, ambalo tumelikubali na kuona kuwa ni halali. Jambo hili litakuwa na matokeo na yawezekana tayari limekuwa na matokeo katika utendaji kazi wa serikali pale...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wakimaliza kuwahoji mawaziri, wamrudie aliyewateua
>Wakiwa katika ziara za kujenga chama chao katika mikoa ya Kusini hivi karibuni, viongozi wa Sekretarieti ya CCM wakiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana, walitaja baadhi ya mawaziri waliowaita kuwa ni mizigo ndani ya Serikali.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OFgX-QWRgUg/XufjyZNVCkI/AAAAAAALt98/thyngRm11GAlGARfulqXv__LDyzcYmELACLcBGAsYHQ/s72-c/photo.jpg)
BUNDALA AWAASA WANACCM KONGOWE ,KIBAHA KUACHA SIASA ZA MAJUNGU ILI KUKIIMARISHA CHAMA
![](https://1.bp.blogspot.com/-OFgX-QWRgUg/XufjyZNVCkI/AAAAAAALt98/thyngRm11GAlGARfulqXv__LDyzcYmELACLcBGAsYHQ/s200/photo.jpg)
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM ) Kibaha Mjini ,Pwani ,Maulid Bundala amewaasa baadhi ya wanachama wa CCM Kongowe na Kibaha kijumla kuachana na siasa za majungu na badala yake wajenge umoja ,upendo na mshikamano ili kukiimarisha chama.
Aidha amekemea kupitapita kwa baadhi ya watu wenye nia ya kugombea nafasi za udiwani na ubunge na kudai atakaebainika kupitapita kuanza kampeni kabla ya wakati atachukuliwa hatua .
Akipokea taarifa ya utekelezaji ya ilani kata ya...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Kurudi mawaziri mizigo, ishara ya kusambaratika chama tawala?
“NCHI changa ni sawa na nyumba mpya.” Hii ni kauli ya hayati Mwalimu Julius Nyerere aliyoitoa wakati anazungumza na wanahabari Machi 13, 1995. Kauli hii ni sawa na kusema kuwa...
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Wafanyabiashara kuwapima wagombea
Zikiwa zimebaki siku nane kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, Jumuiya ya wafanya biashara nchini imeandaa mdahalo wa uchumi kitaifa, wenye lengo la kujua namna sera za vyama zitakavyotekelezwa katika masuala ya kiuchumi.
10 years ago
BBCSwahili22 Oct
Ebola:Marekani kuwapima abiria wa nje
Sheria mpya za Marekani kuanza kutumika katika viwanja vyake vya ndege ili kudhibiti maambukizi ya Ebola
10 years ago
Mwananchi13 Jun
Ni muda wa kuwahoji wagombea
Kila unapofanyika Uchaguzi Mkuu nchini idadi kubwa ya wabunge huwa hawarudi bungeni, kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao kugombea tena nafasi hiyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dj7KjSQgc-QXx7ridhS3TRVBY631Jb72CcUjQQvnYuE01oz21RY3eLTkF2sp2F13rky7IQh2cjktg5MsKfmNoKGaV*ynNuzR/Mwenyekiti.jpg)
NI ZAMU YETU KUWAHOJI WAGOMBEA
Mwenyekiti wa tume ya katiba, Jaji Damian Lubuva. WOTE tulio hai tena wenye afya tele hatuna budi kumtukuza Mungu muumba wa mbingu na nchi na vitu vyote vinavyoonekana na visivyoonekana. Baada ya kusema hayo niwakumbushe tu kwamba kila unapofanyika uchaguzi mkuu wa nchi, wabunge wengi hawarudi bungeni, yaani wanatemwa na wapiga kura wao kwa maana ya kushindwa kwa kura katika uchaguzi huo, ama kutopitishwa na vyama vyao...
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Mshtakiwa ahoji mkuu wa magereza kuwahoji
Mshtakiwa mmoja kati ya 10 wanaokabiliwa na kesi ya mauaji ya kukusudia ya aliyekuwa Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,Dk Sengondo Mvungi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu amedai hawana imani na mkuu wa magereza kutokana na kuwahoji vitu wasivyovielewa kuhusiana na kesi yao wakati wakiwa gerezani.
11 years ago
MichuziBARABARA KIJICHI - MBAGALA KUU NI HATARI ZAIDI YA HATARI!
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania