Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wafanyabiashara kuwapima wagombea

Zikiwa zimebaki siku nane kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, Jumuiya ya wafanya biashara nchini imeandaa mdahalo wa uchumi kitaifa, wenye lengo la kujua namna sera za vyama zitakavyotekelezwa katika masuala ya kiuchumi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara kuwabana wagombea urais

>Jumuiya ya Wafanyabiashara Tanzania, imejiandaa kuwabana wagombea wa urais kupitia mdahalo maalumu kwa lengo la kuwachuja ili kupata mtu atakayeweza kushughulikia kero zao na kukuza uchumi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Marekani kuwapima abiria wa nje

Sheria mpya za Marekani kuanza kutumika katika viwanja vyake vya ndege ili kudhibiti maambukizi ya Ebola

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni hatari kuacha CC ya chama kuwahoji na kuwapima mawaziri

KUNA jambo la hatari limetokea nchini, ambalo tumelikubali na kuona kuwa ni halali. Jambo hili litakuwa na matokeo na yawezekana tayari limekuwa na matokeo katika utendaji kazi wa serikali pale...

 

5 years ago

Michuzi

HAKUNA MAMLAKA ZINAZORUHUSIWA KUWAPIMA WANAFUNZI WA KIKE UJAUZITO - DKT. AKWILAPO

Na Leandra Gabriel, Michuzi TV

KUFUATIA taarifa zinazozunguka katika mitandao mbalimbali ya kijamii kuhusiana na upimwaji wa ujauzito kwa wanafunzi wa kike shuleni Wizara ya Elimu imetoa tamko la ufafanuzi kuhusiana na jambo hilo kwa kueleza kuwa taarifa hiyo sio rasmi kutoka Wizarani.

Taarifa iliyotolewa na Katibu mkuu wa Wizara ya Elimu Dkt. Leonard Akwilapo imeeleza kuwa hakuna sera au utaratibu unaoruhusu wakuu wa shule au mamlaka zozote zinazoruhusiwa kuwapima wanafunzi wa kike...

 

5 years ago

Michuzi

ARUSHA KUANZISHA UTARATIBU WA KUCHUKUA SAMPULI NA KUWAPIMA MADEREVA WA MALORI MPAKA WA NAMANGA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Mkoa wa Arusha umeona umuhimu wa kuanzisha utaratibu wa kuchukua sampuli na kuwapima madereva wa Malori yanayopita mpaka wa Namanga mkoani Arusha wakitokea nchi jirani ya Kenya kufuatia kuongezeka kwa maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19.
Mkuu wa mkoa huo Mrisho Gambo amesema kuwa Sampuli zote zinazochukuliwa na wataalam wa Afya zimekuwa zinapelekwa Maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa ajili ya kupata majibu ya vipimo husika.
Tumechukua uamuzi huu ili kuwalinda wananchi...

 

10 years ago

Michuzi

VODACOM TANAZANIA YAENDESHA ZOEZI LA KUWAPIMA KIWANGO CHA KILEVI MADEREVA JIJINI ARUSHA

Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi, Manase Temaeli, dereva wa gari la Machame Safari lenye namba za usajili T 742 BDE ,linalofanya safari zake kati ya miji ya Moshi na Arusha .Askari Polisi wa kikosi cha usalama barabarani ,CPL Miraji Yahaya (kulia) akimpima kiwango cha kilevi ,Rumisha  Minja dereva  wa gari la Mtei lenye namba za usajili, T 882 CDU linalofanya safari zake kati ya Arusha na Dar  es Salaam.Askari Polisi wa...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: China inaweza kuwapima wakazi wote wa Wuhan kwa siku kumi pekee?

Mji wa Wuhan nchini China ulio chanzo cha mlipuko wa Covid-19 imetaka kuwapima wakazi wa mji huo milioni 11 kwa muda mfupi, lakini hatua hii inaweza kufanikiwa?

 

5 years ago

BBCSwahili

Shirikisho la Mpira Italia lataraji kuwapima wachezaji virusi vya corona kabla ligi kurejea mwezi Mei

Italia ni moja ya nchi ambazo zimeathirika zaidi na janga la virusi vya corona, huku wachezaji wa baadhi ya timu wakipata maambukizi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani