Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ebola:Marekani kuwapima abiria wa nje

Sheria mpya za Marekani kuanza kutumika katika viwanja vyake vya ndege ili kudhibiti maambukizi ya Ebola

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje azungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia masuala ya Afrika, Mhe. Balozi Linda Thomas - Greenfield alipotembelea Wizarani na kufanya mazungumzo yaliyojikita katika kukuza mahusiano kati ya Tanzania na Marekani katika Sekta mbalimbali.Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Mark Childress pamoja na ujumbe ulioambatana na Mhe. Thomas - Greenfield nao wakifuatilia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:amri ya kutotoka nje Liberia

Rais wa Sierra Leone Ellen Johnson Sirleaf ametangaza amri ya kutotoka nje nyakati za usiku kufuatia kuenea kwa Ebola

 

10 years ago

Michuzi

UJUMBE WA MAREKANI WATEMBELEA WIZARA YA MAMBO YA NJE

Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (katikati) akizungumza na ujumbe wa wafanyabiashara na Mabalozi wa Heshima wa Tanzania nchini Marekani uliokuja kumtembelea Ofisini kwake. Ujumbe huo uliongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni ya TANAS Energy Group ya Marekani, Bw. William Crawford wa kwanza kulia kwa Kaimu Katibu Mkuu upo nchini kwa madhumuni ya kuangalia fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii.
Ujumbe wa Marekani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola:Amri ya kutotoka nje kwa siku 3 S.Leone

Serikali ya Sierra imetoa amri ya kutotoka nje kwa siku tatu.

 

9 years ago

Mwananchi

Wafanyabiashara kuwapima wagombea

Zikiwa zimebaki siku nane kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu, Jumuiya ya wafanya biashara nchini imeandaa mdahalo wa uchumi kitaifa, wenye lengo la kujua namna sera za vyama zitakavyotekelezwa katika masuala ya kiuchumi.

 

10 years ago

Habarileo

Ebola waingia Marekani

MGONJWA wa kwanza wa virusi hatari vya ebola ambaye pia ni wa kwanza nje ya bara la Afrika, amegundulika nchini Marekani katika mji wa Dallas, Texas. Maofisa katika Kituo cha Afya cha Texas katika Hospitali ya Presbyterian wamesema mgonjwa huyo mwanamume ambaye hakutajwa jina lake, ametengwa katika hospitali hiyo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ebola yatua Marekani

Mgonjwa wa kwanza wa ugonjwa hatari wa virusi vya Ebola amegundulika nchini Marekani, katika mji wa Dallas, Texas.

 

10 years ago

StarTV

Mwingine apatikana na Ebola Marekani.

Mfanyikazi mwengine wa kituo cha afya aliyemtibu Thomas Dancun kabla ya kifo chake katika jimbo la Texas nchini Marekani amepatikana na virusi vya ugonjwa wa Ebola.

 
”Tulijua kuna uwezekano wa kisa cha pili kuripotiwa ,na tumejitayarisha kwa uwezekano huo”alisema Daktari David Lakey ambaye ni kamishna wa idara ya afya katika jimbo la Texas.

 
Marehemu Dancun ambaye aliambukizwa ugonjwa huo nchini Liberia ,alifariki katika hospitali ya Dallas siku ya jumatano.

 
Hatahivyo jina la muhudumu...

 

10 years ago

Vijimambo

MGONJWA WA EBOLA MAREKANI AFARIKI

Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa wa Ebola nchini Marekani amefariki ,hayo ni kwa mujibu wa maafisa wa afya katika hospitali ya Texas.

Thomas Eric Duncan aliyeambukizwa ugonjwa wa Ebola huko nchini Liberia ,alikuwa amewekwa katika karantini katika hospitali moja ya mjini Dallas ili kupewa dawa za majaribio.

Awali ,Marekani ilitangaza masharti mapya ya usalama katika viingilio vyote vya taifa hilo ili kuwakagua wasafiri walio na dalili za ugonjwa huo.

Zaidi ya watu 3000 wamefariki na wengine...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani