Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakosoa msimamo wa Serikali

Siku moja baada ya Serikali kumtuhumu Balozi wa Uingereza nchini, Dianna Melrose kuwa anaingilia mambo ya ndani ya nchi, baadhi ya wanasiasa na wasomi wameibuka na kutoa maoni yao wakimtetea kuwa hajakiuka utaratibu bali alikuwa anashauri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Serikali yashikilia msimamo tiba mbadala

TAMKO la Serikali kuhusu matangazo ya Tiba Asili na Tiba Mbadala, limesisitizwa kwamba liko palepale kwa kuwa lengo ni kuboresha huduma hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CWT yasisitiza msimamo wao ni serikali tatu

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimesisitiza kuwa msimamo wa chama hicho ni muundo wa serikali tatu. Akizungumza na waandishi wa  habari jijini Dar es Salaam jana, Rais wa CWT, Gratian...

 

5 years ago

CCM Blog

SERIKALI YATOA MSIMAMO KUHUSU VYAMA VYA SIASA VINAVYOTAKA KUSHIRIKIANA KINYEMELA UCHAGUZI MKUU (VIDEO)


Na Jacquiline Mrisho - Dodoma
Vyama vya Siasa ambavyo vinatarajia kushirikiana wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu bila kufuata Sheria ya Vyama vya Siasa kama ilivyoainishwa kwenye Kifungu Na.11 (a) cha Sheria hiyo vitakuwa vimevunja sheria.
Onyo hilo limetolewa leo jijini Dodoma na Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, wakati alipofanya mahojiano kuhusu msimamo wa ofisi yake kwenye suala la ushirikiano wa vyama vya siasa wakati wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Nyahoza...

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI CCM TAWI LA MOSCOW URUSI ATOA MSIMAMO WAKE JUU YA MCHAKATO WA KATIBA, ASEMA SERIKALI MBILI NDIO SULUHISHO

MWENYEKITI TAWI LA CCM MOSCOW URUSI, NDG SALIM MFUNGAHEMA: 
 Mwenyekiti tawi la CCM Moscow Ndg Mfungahema Salim amesema muundo wa muungano wa serikali Mbili ndio suluhisho pekee la watanzania, Akizungumza katika kikao cha kamati ya siasa ya tawi kilichofanyika 05.06.2014, bwana Mfungahema alisema muungano wa serikali mbili ndio umetufikisha hapa tulipo na kuna mafanikio makubwa TULIYOYAPATA, pamoja na changamoto chache zinazojitokeza lakini zinarekebishika.
 Bwana Mfungahema aliwataka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa kambi ya Stars

Uamuzi wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF) kuitisha kambi ya timu ya Taifa wakati klabu zikiwa kwenye maandalizi ya msimu mpya wa ligi, umepokewa kwa hisia tofauti na wadau wa mchezo huo, baadhi wakizilaumu Yanga na Azam kwa kuzuia wachezaji wao na wengine wakiliponda shirikisho hilo kwa kutokuwa makini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wakosoa mfumo wa ukusanyaji kodi

Shirikisho la Wenye Viwanda Tanzania (CTI), limeibua maeneo matatu muhimu kama Serikali itaelekeza nguvu zake, itasaidia kukusanya mapato na kuongeza pato la taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Wadau wakosoa Malengo ya Milenia

Baadhi ya wadau wa maendeleo wamekosoa ripoti ya Malengo ya Milenia iliyotolewa na mwakilishi wa Wizara ya Fedha katika mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Policy Forum jijini Dar es Salaam jana.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wakosoa ufaulu la saba

>Wadau wa elimu nchini wamekosoa ufaulu wa matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi kwa kusema siyo ishara ya kukua kwa sekta hiyo, ilhali kuna tatizo la kisera.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanaharakati wakosoa masharti ya NEC, ZEC

Makundi ya wanaharakati wa masuala ya Sheria na Katiba wamekosoa masharti yaliyoainishwa kwenye tangazo la Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na ile ya Zanzibar (Zec), wakidai kuwa yanalenga kudhoofisha nguvu ya makundi yanayopinga Katiba Inayopendekezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani