Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima wamchongea Chiza kwa JK

WAKULIMA wa Pamba mikoa ya Shinyanga na Simiyu wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kumwajibishwa Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza kutokana na kuruhusu matumizi ya mbegu zinazosambazwa na kampuni...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Chiza, wakulima Kagera wanahitaji juhudi zako

WAKATI  Rais Jakaya Kikwete akielekea kumaliza muda wake wa uongozi wananchi wamechachamaa kutokana na mambo kudorora katika serikali yake. Ikabidi chama tawala kiingilie kati na kufanya uchunguzi kuhusu hali hiyo,...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Chiza awahakikishia soko wakulima wa mpunga

>Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amewahakikishia wakulima wa mpunga wa bonde la Mto Kilombero na wengine nchini kuwatafutia soko lenye tija ndani na nje ya nchi ili kila mkulima wa zao hilo anufaike na kushawishi wengine.

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

10 years ago

Michuzi

TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI KWA NJIA YA MATONE ITAKUZA KILIMO CHA MATUNDA NA MBOGA KWA WAKULIMA

Mtaalamu wa Mradi wa Kilimo chenye tija Tanzania (TAPP ), Mussa Madurufu ( anayenyosha mikono) akitoa elimu ya namna ya kuendesha wa kilimo cha bustani ya nyanya kwa njia ya teknolojia mpya ya umwagiliaji kwa njjia ya matone wakati wa maadhimisho ya siku ya wakulima Julai 20, 2015 katika bustani ya vipando vya mboga na matunda ya Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), maonesho yaliyodhaminiwa na Asasi kilele ya sekta binafsi yenye lango kuu la kuhamasisha maendeleo ya kilimo cha mazao ya...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO ATOA SAA 48 KWA KAMPUNI YA SPARKWAY LTD KULIPA BILLION 3.4 KWA WAKULIMA WA KOROSHO

 Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba atoa saa 48 kwa kampuni ya Sparkway ltd kuwalipa wakulima wa korosho wa Mkoa wa pwani, kiasi cha Bilioni 3.4 za mauzo ya korosho kufuatia agizo hilo,Wakulima waliouza Korosho  wataanza kulipwa jumatatu ya Desemba 21, mwaka huu.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Waziri wa Kilimo Uvuvi na Mifugo Mwigulu Lameck Nchemba wakati akizungumza mkoani Pwani leo.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF YAPANUA WIGO WA HUDUMA ZAKE KWA KUANZISHA MPANGO MAALUMU KWA WAKULIMA NA WACHIMBA MADINI WADOGO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Crescesius Magori (kulia) wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF akipata maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi, Uhusiano na  Huduma kwa Wateja, Eunice Chiume (katikati) wa Shirika hilo alipotembelea banda hilo katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba). Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na  Teknohama, Idi Khalfani, Kushoto ni Afisa Uhusiano Mwandamizi, Teopista Muheta.Kwa sasa Wakulima na wachimba madini Wadogo wanaweza kujichangia na...

 

10 years ago

TheCitizen

Improve horticulture: Chiza

>The government yesterday challenged players in the Tanzanian horticulture industry to consider adding value to their products.

 

11 years ago

Mwananchi

Kaulimbiu zinahamasisha kilimo-Chiza

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Christopher Chiza amesema kaulimbiu zinazotolewa kuhusu kilimo, zinasaidia wananchi kujiingiza kwenye sekta hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri Chiza awawakia mawakala

>Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher Chiza, ametangaza kuwashughulikia mawakala wanaonunua mazao kwa wakulima kwa mali kauli, akidai kwamba ndio wanaochangia yeye kuitwa mzigo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani