Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakumbwa na upungufu mkubwa wa chakula

Madiwani wa Halmashauri ya Mji wa Bariadi, wanasema wananchi katika halmashauri hiyo, wanakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula uliosababishwa na mazao kukauka kwa jua yakiwa bado shambani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Bahi wakabiliwa na upungufu wa chakula

WILAYA wa Bahi mkoani Dodoma inakabiliwa na upungufu mkubwa wa chakula hali inayoleta wasiwasi wa kutokea vifo iwapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI TABORA,ALA CHAKULA CHA MAMALISHE KUWAUNGA MKONO,AHITIMISHA ZIARA YAKE KWA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA/

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia katika mkutano wa hadhara katika Uwanja wa Stendi Kuu ya Zamani mjini Tabora, baada ya kumaliza ziara yake ya siku 11 katika mkoa huo, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua, kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata  Ilani ya CCM, kukagua maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na kusikiliza kero za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi Wakazi wa Mji wa Tabora Mjini  wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye...

 

9 years ago

BBCSwahili

Jerusalem wakumbwa na machafuko

Leo ni siku ya pili ya makailiano katika eneo la al-Aqsa mjini Jerusalem, kati ya polisi wa Israeli na vijana wa Kipalestina

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanariadha Urusi wakumbwa na kashfa

Shirikisho la Riadha Duniani limeitaka Urusi, ifikapo mwishoni mwa wiki, kujibu tuhuma za kuhusiaka na dawa za kusisimua misuli

 

11 years ago

BBCSwahili

Milioni 20 wakumbwa na njaa Sahel

Umoja wa Mataifa unaomba zaidi ya dola bilioni 2 kuweza kuwapa watu milioni 20 chakula katika kanda ya Sahel barani Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtandao wa Skype wakumbwa na tatizo

Tatizo la kimitambo limesababisha watu wengi kukosa kutumia huduma ya Skype.Ripoti kuhusu Skype kukumbwa na hitilafu zilianza mwendo wa saa tatu nchini Uingereza.

 

10 years ago

StarTV

Wananchi Kyela wakumbwa na hofu ya mafuriko.

Na Mkombe Zanda,

Mbeya.

 

Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya imeanza kukumbwa na mafuriko yanayohatarisha usalama wa wananchi na mali zao kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

 

Kutokana na hali hiyo Serikali wilayani Kyela imewatahadharisha wananchi kuchukua tahadhari za kujiepusha na mafuriko hayo ikiwemo kuhama kutoka kwenye maeneo yaliyo kando ya mito na maziwa.

 

Aprili 12 mwaka jana watu Saba walifariki dunia wilayani Kyela mkoani Mbeya wakati kaya...

 

9 years ago

Mwananchi

Watu 1,500 wakumbwa na mafuriko Morogoro

Zaidi ya wakazi 1,500 wa kaya 250 katika Kitongoji cha Mbwamaji wilayani hapa Mkoa wa Morogoro, wamekumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha hasara ya vitu mbalimbali, ikiwamo nyumba kubomoka na uharibifu wa mali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Watoto 50,000 wakumbwa na njaa Somalia

Zaidi ya watoto 50,000 wa Somalia wenye matatizo ya utapia mlo wamo katika hatari ya kufa, miaka mitatu tu baada ya kipindi kibaya cha ukame kukumba taifa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani