Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walalamikia huduma za Baraza la Ardhi

IMEELEZWA kuwa kuwepo kwa Baraza moja la Ardhi ambalo linatumika na mashauri yote yanayohusu ardhi, limechangia kutopatiwa ufumbuzi wa haraka migogoro ya ardhi inayotokea mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula astukizia baraza la ardhi kinondoni

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akiangalia mafaili ya kesi mbalimbali katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Kinondoni, jijini Dar es salaam, alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza hilo, kulia kwake ni karani wa baraza hilo, Bahati Rashidi.

 Naibu Waziri, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Angelline Mabula (Mb), akitazama utunzwaji wa mafaili katika masijala alipofanya ziara ya kushtukiza katika Baraza la Ardhi na Nyumba la...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakala huduma za fedha walalamikia kodi kubwa

Taasisi ya Pride Tanzania ambayo ilianzishwa kwa lengo la kutoa mikopo midogo midogo kwa wajasiriamali imetoweka kwenye orodha ya mali zinazomilikiwa na Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

Baraza la Wafanyakazi Tume ya Ardhi lazinduliwa

TUME ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi imeagizwa kutenga bajeti ya kutosha kuharakisha utekelezaji wa upangaji wa matumizi ya ardhi nchini ili kupunguza migogoro ya ardhi iliyoshamiri nchini.

 

5 years ago

Michuzi

Baraza la Ardhi Wilayani Nkasi kuanza kazi mwezi wa Saba.



Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo (kushoto) akimpa maelekezo Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kulia) juu ya namna ya kufanya baadhi ya marekebisho katika jengo la Ofisi za Baraza la Ardhi la Wilaya hiyo.

**********************************

Wananchi wa Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa, wametolewa hofu na Mkuu wa Mkoa huo Mh. Joachim Wangabo juu ya kufuata huduma za baraza la ardhi katika Wilaya ya Sumbwanga na kuwahakikishia kuwa, baraza la Ardhi la Wilaya ya Nkasi linategemewa...

 

5 years ago

Michuzi

Ofisi ya Ardhi Rukwa yaapa kutoa huduma kwa weledi na haki.

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Swagile Msananga amewatoa hofu wananchi wa Mkoa huo kuwa, hawatakuwa na haja ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za sekta ya ardhi katika ofisi za kanda zilizopo mkoa wa Mbeya baada ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, kuanzisha ofisi za ardhi za mikoa zikiwa na lengo la kusogeza huduma hizo karibu na wananchi

Msananga amesema kuwa lengo la wizara kuwapunguzia wananchi gharama za usafiri kufuata huduma ambazo hivi sasa...

 

10 years ago

Michuzi

BARAZA LA WATUMIAJI HUDUMA SUMATRA LASHIRIKI KIKAMILIFU MAONESHO YA MIAKA 40 YA CHUO CHA NIT JIJINI DAR

Afisa wa Elimu kwa Wateja kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Nicholous Kinyariri  akitoa maeklezo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Monica Mwamunyange (kulia) wakati alipotembelea banda la SUMATRA katika maonesho ya kuazimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa chupo cha Usafirishaji Tanzania (NIT) kwenye viwanja vya chuo hicho jana. Kushoto ni Afisa wa Baraza hilo la Sumatra, Doatha Kabyemela.Naibu Katibu Mkuu wa Uchukuzi, Monica Mwamunyange...

 

5 years ago

Michuzi

OFISI YA ARDHI MKOA WA MARA KUWEZESHWA VIFAA VYA UPIMAJI ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesema wizara yake itaipatia ofisi ya ardhi mkoa wa Mara vifaa vya upimaji ili viweze kutumiwa na halmashauri za mkoa huo  kwa lengo la kuongeza kasi ya upimaji. Dkt Mabula alitoa kauli hiyo jana wilayani Musoma mkoa wa Mara alipokwenda kukagua ofisi mpya ya ardhi ya mkoa Mara ikiwa ni jitihada za wizara ya ardhi kusogeza huduma za ardhi kwa wananchi. Awali huduma za ardhi zilikuwa...

 

5 years ago

CCM Blog

LUKUVI AWATAKA WATENDAJI IDARA ZA ARDHI KUPIMIA WANANCHI ARDHI

IMG_20200624_122816Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi akiwasili kwenye uzinduzi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Arusha mapema leo akiwa maeongozana na mkuu wa mkoa wa Arusha Idd Kimanta pamoja na katibu tawala mkoa wa Arusha Richard Kwitega nyuma wakiwa na mkuu wa wilaya ya Monduli Edward Balele picha na Ahmed Mahmoud Arusha.
Na Ahmed Mahmoud Arusha

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Makazi, William Lukuvi amewataka maafisa ardhi kuwapa hati Mara moja watu wote waliopimiwa viwanja ili idadi iliyo kwenye michoro iwe na hati kwa...

 

5 years ago

CCM Blog

OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA ZATAKIWA KUWA NA DAFTARI LA MIGOGORO YA ARDHI

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Manyara jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexzander Mnyeti na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Mary Makondo. Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akioongozwa na Kamishna Msaidizi wa Ofisi ya Ardhi mkoa wa Manyara Leonard Msafiri (kushoto) wakati wa uzinduzi wa ofisi ya ardhi ya mkoa huo jana. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Manyara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani