Walimu ‘walazimishwa’ kujitolea
WALIMU nchini wametakiwa kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanawafundisha wanafunzi katika muda wa ziada ili kuwaongezea uwezo wa ufaulu katika mitihani yao. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) anayeshughulikia Elimu, Zuberi Samataba wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu na wanafunzi katika Ufundishaji na Ujifunzaji kwa Shule za Sekondari (STEP) yanayoendelea katika mikoa sita nchini.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Apr
Walimu Nachingwea wataka hisa Benki ya Walimu ziuzwe kwa simu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NeZSb8inmZg/XsNwbcdl5GI/AAAAAAALqtU/fB7I1rBmzecoLfLGFJIJnH212rT3ZKKxwCLcBGAsYHQ/s72-c/873cfe13-d758-4251-8b9e-f44638d623d6.jpg)
JAFO AITAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU KUTATUA CHANGAMOTO ZA WALIMU NCHINI
Kauli hiyo ameitoa jijini Dodoma wakati wa kuapishwa wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Walimu .
Jafo amesema kuwa Tume hiyo ndani ya wiki moja ikafanyie kazi mashauri ya rufaa 110 ili walimu waweze kutekeleza majukumu yao katika ubora unaohitajika.
Akizungumza amesema kuwa Tume inatakiwa kufanya kazi kwa weledi wa hali...
11 years ago
Mwananchi10 Dec
Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wanamgambo wahimizwa kujitolea Iraq
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jnTUhek-dKc/VUHwtzzmo2I/AAAAAAAHUPI/y0_g9SVAztw/s72-c/unnamed.jpg)
Wataalamu wa kujitolea wakikaribishwa nchini
![](http://4.bp.blogspot.com/-jnTUhek-dKc/VUHwtzzmo2I/AAAAAAAHUPI/y0_g9SVAztw/s1600/unnamed.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-ddGjRU1Jsa4/VUHwyf7KxDI/AAAAAAAHUPQ/4UlhxtpFZHQ/s1600/unnamed%2B(1).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-I2zZWVV5VvY/VUHw2WWf_vI/AAAAAAAHUPY/9d6qc_2Cx1Q/s1600/unnamed%2B(2).jpg)
11 years ago
BBCSwahili22 Dec
Shambulio la kujitolea mhanga Benghazi
10 years ago
Dewji Blog08 Dec
Serikali yahimiza vijana kujitolea
Afisa Habari wa kituo cha Habari cha Umoja wa Mataifa (UNIC), Stella Vuzo aliyemwakilisha Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akiongea na na Vijana (hawapo pichani) kutoka taasisi mbalimbali na mashirika yasiyokuwa yakiserikali wanaofanyaka kazi za kujitolea kwenye jamii wakati wa maadhimisho ya siku ya kujitolea kimataifa yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Siku ya Kujitolea duniani...
11 years ago
Tanzania Daima03 Feb
Pinda aipongeza taasisi kwa kujitolea
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameipongeza taasisi ya Urafiki na Mshikamano ya Rehema kwa kujitolea katika shughuli mbalimbali za maendeleo ya jamii. Pinda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki baada ya...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_0277.jpg?width=650)
SERIKALI YAHIMIZA VIJANA KUJITOLEA