Waliocheka, walionuna katika siasa 2015
Mwaka 2015 ulikuwa wa matukio mengi ya kisiasa. Baadhi ya matukio hayo yalibadili kabisa maisha ya wanasiasa kwa wema au ubaya. Wapo ambao nyota zao ziling’ara na ambao siasa ziliwaendea kombo hadi wakalazimika kuachana nazo. Pia wapo waliotangulia mbele ya haki katikati ya mchakato wa uchaguzi mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
10 years ago
Habarileo20 Jul
Nilipanga kustaafu siasa 2015 -Magufuli
MGOMBEA urais mteule wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. John Magufuli amesema kama si kuombwa kuwania urais, alipanga kuachana na siasa mwaka huu, kwani alijiwekea lengo la kuachana na ubunge baada ya kuwa mbunge wa Chato kwa miaka 20 sasa.
11 years ago
Mwananchi03 Sep
Je, vijana wataimudu mikiki ya siasa 2015?
10 years ago
GPL
2015 TUPUNGUZE SIASA, TUFANYE KAZI
10 years ago
Dewji Blog08 Aug
10 years ago
Mwananchi16 Sep
‘Marufuku siasa katika soka’
10 years ago
Mwananchi09 Dec
Nini kinawakwaza maprofesa katika siasa?
11 years ago
Mwananchi22 Jan
Ushabiki unavyowatesa vijana katika siasa