Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ushabiki unavyowatesa vijana katika siasa

>Mwamko wa vijana katika siasa ulianza kujitokeza katika kipindi cha uchaguzi wa mwaka 1995. Chama Cha Mapinduzi (CCM) mbali na mwamko wa vijana ulioibuka ndani yake, pia kilianza kupata upinzani mkali na kutupiwa lawama na kila aina ya kejeli kwa madai ya viongozi wake kukosa sifa za kuongoza nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Zambi: Ushabiki wa siasa si suluhu ya kero za vijana

Katika shughuli za kisiasa si jambo la ajabu kuona kuwa vijana ndiyo wamekuwa wakitumika kwa wingi hapa nchini na kwingineko kuwapigia kampeni viongozi, kufanya propaganda za kampeni,  kupiga na kulinda kura.

 

9 years ago

StarTV

Wananchi wahimizwa kusikiliza sera za vyama vya siasa na kuacha ushabiki

Wananchi wametakiwa kuacha ushabiki wa vyama na badala yake wajitokeze kusikiliza sera za vyama mbalimbali vya siasa nchini ili waweze kuchagua kiongozi kutokana na sera zitakazowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Hayo yamebainishwa na mgombea ubunge jimbo la Buchosa kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Marco Manyilizu wakati wa kunadai sera za chama hicho kwa wananchi wa Kata ya Nyehunge wilayani Sengerema. 

Akizungumza katika mkutano wa kampeni mgombea huyo amesema kuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ufaulu duni unavyowatesa wasichana Mbagala kuu

>Wakiwa katika mpango maalum wa mafunzo ya ziada, zaidi ya wanafunzi 200 wa kike kutoka Shule ya Msingi Mbagala Kuu watakuwa wakipatiwa  vifaa vya kusomea kama zawadi baada ya kuonekana kufanya vizuri katika masomo.

 

10 years ago

Mwananchi

Vijana na siasa za usindikizaji

Mazingira yamebadilika na hadhira ya kisiasa imechukua muelekeo mpya. Kwenye uwanja wa siasa pesa ndio msingi mkuu, huna pesa huna chako! na kwa maana hiyo kiungo kati ya wananchi na wanasiasa ni pesa.

 

9 years ago

Habarileo

UN yaonya vijana na siasa za chuki

UMOJA wa Mataifa (UN) nchini umetahadharisha vijana kuacha kutumiwa katika siasa za chuki na badala yake wawe mabalozi wa amani na wajikite katika kuhubiri amani iliyopo ili iendelee kudumu.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana nchini watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Dunia

Na Frank Shija, WHVUM
Vijana watakiwa kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ambayo kitaifa yatafanyika tarehe 12 Agosti jijini Dar es Salaam huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni “Ushiriki wa Vijana katika masuala ya Kiraia”
Wito huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam.
Bibi Sihaba amesema kuwa maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika kila mwaka...

 

10 years ago

Michuzi

Wadau wa Vijana washiriki mdahala katika Wiki ya Vijana mkoani Tabora

Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Steven Kissuiakizungumza katika mdahalo wa vijana leo mkoani Tabora ambapo mdahalo huo umefanyika ikiwa ni kuadhimisha Wiki ya Vijana ambayo kitaifa inafanyika mkoani hapa. Mchumi Mkuu Sekretariat ya Mkoa wa Tabora Bw.Nicholas Kileka akitoa mada kuhusu ijue Tabora leo mkoani humo wakati wa mdahalo uliohusisha vijana mbalimbali wanaoshiriki maadhimisho ya Wiki ya Vijana ambayo kitaifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Je, vijana wataimudu mikiki ya siasa 2015?

Mwishoni mwa 2010 na mwanzoni mwa 2011, dunia ilishuhudia mfululizo wa maandamano na kuanguka kwa tawala kongwe hasa katika ulimwengu wa Kiarabu. Maandamano hayo yanaitwa ‘Arabian Spring.’

 

11 years ago

Tanzania Daima

UVCCM: Vijana epukeni siasa za chokochoko

VIJANA nchini wametakiwa kuwaepuka wanasiasa wanaopandikiza chokochoko zinazoweza kuligawa na kuliingiza taifa katika misukosuko hatari na mapigano ya kijamii. Rai hiyo imetolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani