Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliofariki dunia ajalini Dar watajwa

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni  jijini Dar es Salaam, limetaja majina ya watu sita walifariki dunia katika ajali mbaya ya daladala yenye namba za usajili T 337 BEF, iliyotokea juzi eneo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Waliofariki dunia ajalini watambuliwa

>Watu 35 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha magari matatu eneo la Sabasaba Wilaya ya Butiama mkoani Mara wametambuliwa.

 

10 years ago

Vijimambo

Mbunge wa zamani miongoni mwa waliofariki ajalini Mbwewe.


Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki.

Mbunge wa zamani wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mussa Lupatu ni miongoni mwa waliofariki katika ajali ya basi kijiji cha Mbwewe, Mkata wilayani hapa.

Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Juma Ndaki, Lupatu alipata ajali hiyo akitokea Kibaha kuelekea Korogwe kumpeleka mwanae, Idrisa Lupatu, ambaye naye ni marehemu kupatiwa matibabu ya ugonjwa wa akili.

Wengine waliyotajwa kufariki katika ajali hiyo ni karani wa Mahakama ya Ardhi...

 

11 years ago

GPL

MWISHO WA DUNIA WATAJWA

Stori: Mwandishi Wetu na Mitandao
WAKATI binadamu wakiendelea na mipango yao ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama ya kuishi kimazingira, kiulinzi na usalama, utabiri mpya wa kutisha unaonesha kuwa mwaka 2032 ndiyo mwisho wa sayari hii ya tatu katika mfumo wa jua. Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali katika mitandao ya internet, sayari iitwayo Nibiru, ambayo kisayansi inafahamika kama Planet X ipo njiani kuigonga dunia na hivyo...

 

9 years ago

Mtanzania

Mtikila afariki dunia ajalini

MtikilaChristopherMtikilaNA Waandishi Wetu, Chalinze na Dar
MWANASIASA mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (62) amefariki dunia kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa,   Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, barabara Kuu ya Morogoro.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Jafary Ibrahimu alisema ajali hiyo ilitokea saa 11 alfajiri usiku wa kuamkia jana alipokuwa akitoka mkoani Njombe kurejea Dar es Salaam.

 

“Ni kweli Mtikila amefariki dunia saa 11 alfajiri katika eneo la Msolwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Miili minane ya waliofariki dunia kwa radi yaagwa

Vilio na simanzi jana vilitawala katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wakati salamu za mwisho zikitolewa kwa miili ya watu wanane waliofariki dunia juzi kwa kupigwa na radi.

 

11 years ago

CloudsFM

BONGO MOVIE KUWASOMEA DUA WASANII MBALIMBALI WALIOFARIKI DUNIA

Wasanii wa Bongo movie wanatarajia kufanya hitma ya wasanii mbalimbali waliofariki dunia katika uwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 16 mwezi huu. Akizungumza na leo tena, Mwenyekiti wa Bongo Movie,Steve Nyerere alisema kuwa katika hitma hiyo watakuwepo wageni mbalimbali kama Sheikh Mkuu wa Mkoa na wachungaji mbalimbali, Mama Salma Kikwete, Mama Pinda na wengineo na hitma hiyo itaanza kuanzia saa nne asubuhi.

 

11 years ago

GPL

MMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO

Dereva wa basi la Zakaria Express, Mbaraka Shamsi (35) mkazi wa Magu akiwa hospitali baada ya ajali. Roberty Nashoni (48) ambaye…

 

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA

 Wanajeshi wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal. Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika 
katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini  humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...

 

5 years ago

Michuzi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na COVID-19 nchini Italia yazidi ile ya China

Serikali ya Italia ilitangaza jana usiku kwamba idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) nchini humo imefikia 3,405.

Taarifa iliyotolewa na serikali ya Italia imesema kuwa kesi nyingine mpya za maambukizi ya watu 5322 pia zilisajiliwa katika masaa 24 yaliyopita nchini humo na kuongeza kuwa, hadi kufikia jana jioni watu 41,035 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona.

Takwimu hizo za kufariki dunia watu 3,405 nchini Italia kutokana na virusi vya corona zinaonyesha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani