Mtikila afariki dunia ajalini
NA Waandishi Wetu, Chalinze na Dar
MWANASIASA mkongwe na Mwenyekiti wa Chama Cha Democratic (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (62) amefariki dunia kwa ajali ya gari katika Kijiji cha Msolwa, Jimbo la Chalinze mkoani Pwani, barabara Kuu ya Morogoro.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Jafary Ibrahimu alisema ajali hiyo ilitokea saa 11 alfajiri usiku wa kuamkia jana alipokuwa akitoka mkoani Njombe kurejea Dar es Salaam.
“Ni kweli Mtikila amefariki dunia saa 11 alfajiri katika eneo la Msolwa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pYo728rS*VFWk2IGboNo2HD8b*BmSa8XNJVJf9rvXU*FIoIf4rbb*3a3Zva4oFlfXQh0UwMYDFCiNQYIM3PFsbQ*Yz0nlT0O/mtikil.png)
TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA
11 years ago
GPLMMOJA AFARIKI DUNIA, WATANO WAJERUHIWA AJALINI TARIME LEO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-PlY8Cjladkk/U4kMVsJXHFI/AAAAAAAFmpU/t6Pnq-jMaA8/s72-c/TYSON.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ........: GEORGE TYSON HATUNAYE TENA,AFARIKI DUNIA AJALINI MKONI MOROGORO
![](http://4.bp.blogspot.com/-PlY8Cjladkk/U4kMVsJXHFI/AAAAAAAFmpU/t6Pnq-jMaA8/s1600/TYSON.jpg)
GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU HUU BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA...
9 years ago
Dewji Blog04 Oct
Breaking News: Mchungaji Christopher Mtikila afariki dunia leo alfajiri
Taarifa zilizotufikia hivi punde katika chumba chetu cha habari, Mwenyekiti wa Chama cha Democratic Party (DP), Mchungaji Christopher Mtikila (pichani) amepata ajali na kufariki dunia alfajiri ya leo eneo la Msolwa-Chalinze.
Modewji blog inaungana na wanachama wa DP pamoja na watanzania wote katika kuomboleza kifo cha Mchungaji Mtikila, Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Mchungaji Mtikila Amen.
Pichani ni gari iliyopinduka na kumuua Mchungaji Mtikila.
Taarifa za kifo chake...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s72-c/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
BREAKING NYUZZZZZ......: Mbunge wa Viti maalumu CUF, MH. Clara Mwatuka Afariki Dunia ajalini jioni ya leo
![](http://4.bp.blogspot.com/-xYlyc6tsACA/Vce8Q6vjfMI/AAAAAAAHvjg/koTL6LXCn9I/s640/c29d6388c9b9c3df8108dfb097a0b176.jpg)
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana ni mwanae.Maiti ipo Hospitali ya Rufaa ya Ndanda, Mkoani Mtwara.
Globu ya Jamii inaungana na Familia ya Marehemu katika kipindi hiki kigumu, na tunamuombea kwa...
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
James Horner afariki ajalini
10 years ago
Mwananchi07 Sep
Waliofariki dunia ajalini watambuliwa
9 years ago
Mwananchi04 Oct
Mchungaji Mtikila afariki kwa ajali ya gari Chalinze
11 years ago
Tanzania Daima23 Jun
Waliofariki dunia ajalini Dar watajwa
JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni jijini Dar es Salaam, limetaja majina ya watu sita walifariki dunia katika ajali mbaya ya daladala yenye namba za usajili T 337 BEF, iliyotokea juzi eneo...