Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliohusika na mapinduzi Gambia wasakwa

Watu kadhaa wamekamatwa na kuzuiliwa, kufuatia jaribio la mapinduzi ya hapo Jumanne dhidi ya kiongozi wa nchi hiyo, Yahya Jammeh.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Waliopanga mapinduzi Gambia mashakani

Waendesha mashtaka Marekani wamewafungulia mashtaka raia wa tatu wa Marekani waliohusika kwenye njama ya mapinduzi nchini Gambia.

 

10 years ago

Habarileo

TUCTA: Waliohusika sakata la Escrow wachukuliwe hatua

Gratian MukobaSHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limesema waliohusika na wizi katika akaunti ya Escrow, iliyofunguliwa kutokana na mgogoro wa malipo ya gharama za umeme kati ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) kuchukuliwa hatua kali na shirikisho hilo halitokubaliana na jitihada zozote za kufunika wizi huo.

 

9 years ago

StarTV

Kufutwa Uchaguzi Zanzibar Waliohusika watakiwa kuchukuliwa hatua

Shirikisho la vyuo vikuu Zanzibar limeomba kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya mtu yeyote aliyehusika na kusababisha kufutwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar bila kujali cheo ama wadhifa wake.

Akisoma taarifa ya wasomi hao wanaounga mkono ccm mbele ya wanahabari visiwani Zanzibar Makamu mwenyekiti wa shirikisho la vyuo vya elimu ya juu wanaunga mkono CCM Zanzibar Hamid Saleh Muhina anasema maeneo mengi ya hujuma katika uchaguzi huo yamebainika ila tuma na baadhi ya makamishna kukaa kimya...

 

5 years ago

BBCSwahili

Kifo cha George Floyd: Tunafahamu nini kuhusu maafisa 4 wa polisi waliohusika?

Wako wapi maafisa wengine watatu waliokuwepo wakati wa kukamatwa kwa George Floyd na kushuhudia Derek Chauvin akimzuilia chini kwa kutumia goti lake?

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliowajeruhi polisi TZ wasakwa

Polisi nchini Tanzania wamesema wanawasaka watuhumiwa waliowajeruhi askari sita kwa risasi mkoani Tanga.

 

10 years ago

StarTV

Waliofanya mauaji ya Polisi wasakwa.

Na  Glory Matola na Epiphania Magingo,

Dar es Salaam.

Machi 31, 2015

 

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Polisi mkoani Pwani limeanza oparesheni kali ya kuwasaka watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi waliowavamia na kuwaua askari wawili na kumjeruhi mmoja na kisha kupora bunduki aina ya SMG katika eneo la kizuizi cha Polisi mkoani Pwani.

 

Tukio hilo limetokea Machi 30 mwaka huu majira ya saa mbili usiku katika barabara ya Kilwa Kata ya Vikindu wilayani...

 

10 years ago

GPL

WALIOMUUA AISHA MADINDA WASAKWA!

Stori: Waandishi Wetu
Kimenuka! Baada ya kuwepo kwa utata mkubwa juu ya kifo cha aliyekuwa mnenguaji bei mbaya Bongo, Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’, inadaiwa kwamba waliohusika na kifo chake sasa wanasakwa kila kona. Mwanaisha Mohamed Mbegu ‘Aisha Madinda’ enzi za uhai wake. Habari kutoka ndani ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Dar, zilidai kwamba jeshi hilo ndilo lililozuia...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waliofanya shambulio la Mandera wasakwa

Wanajeshi na polisi wa Kenya wanawasaka al-Shabaab waliouwa abiria 28 katika basi karibu na Mandera, mji ulio karibu na Somalia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani