Walioiba fedha za tumbaku watakiwa kukamatwa
VIONGOZI wote wanaotuhumiwa kushiriki katika wizi wa fedha za tumbaku za wakulima, wameamriwa wakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Jun
JK aamuru polisi iwakamate walioiba fedha za tumbaku
10 years ago
GPLTegete: Walioiba fedha za Escrow wanyongwe
9 years ago
BBCSwahili18 Nov
Anayedaiwa kufuja fedha za B Haram kukamatwa
11 years ago
Michuzi
WAKULIMA WA TUMBAKU WAULALALMIKIA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ULIOFANYWA NA VYAMA VYA USHIRIKA WILAYANI SIKONGE MKOANI TABORA.

Aidha,Wananchi wa Sikonge wameulalamikia ubadhilifu huo mkubwa wa fedha...
11 years ago
Tanzania Daima08 Sep
Watakiwa kuacha kuhifadhi fedha majumbani
BODI ya Bima ya Amana imewataka wananchi kujenga utamaduni na kuendelea kuweka fedha benki, kwani ni njia salama na ina faida kiuchumi kwao na kwa nchi. Akizungumza na waandishi wa...
11 years ago
Habarileo07 Apr
CWT watakiwa kuwa wawazi na fedha za michango
UONGOZI wa Chama cha Walimu (CWT) umenasihiwa kuongeza uwazi juu ya fedha za chama zinazotokana na michango ya walimu ili kupunguza shutuma za ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha.
9 years ago
Michuzi
WATAOPEWA FEDHA ZA ELIMU BURE WATAKIWA KUWA NA UADILIFU NA UAMINIFU –SHIRIKISHO

SHIRIKISHO la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), limesema kuwa waliopewa wajibu wa kusimamia fedha za elimu bure wanatakiwa uaminifu na uadilifu kutimiza suala hilo.
Akizungumza na waandishi habari Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Zainabu Abdallah amesema kuwa kwa wale ambao watakiuka matumizi ya fedha za elimu bure, wamemtaka Rais John Pembe Magufuli kutokuwa na huruma kwa yeyote atakayefanya urasimu usio na tija kukwamisha utekelezaji...
10 years ago
MichuziWANAWAKE WATAKIWA KUJIUNGA TAASISI ZA FEDHA ZENYE MASHARTI NAFUU YA MIKOPO
Hayo ameyasema leo Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Sophia Simba wakati wa uzinduzi wa mpango Fanikisha Plus wa wajasirimali unaondeshwa na benki ya Equity iliyofanyika leo katika ukumbi JB,Belmote jijini Dar es Salaam.
Sophia amesema wanawake umefika wakati kutumia fursa ambazo taasisi za fedha zenye...
11 years ago
Habarileo06 Sep
Walioiba NMB jela miaka 37, viboko 24
WATU watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.