Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Anayedaiwa kufuja fedha za B Haram kukamatwa

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameagiza kukamatwa kwa afisa mmoja mkuu serikalini kwa tuhuma za kuiba zaidi ya dola bilioni 2 zilizotengewa vita dhidi ya kundi la Boko Haram.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Anayedaiwa kulamba fedha za maabara asimamishwa

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Igunga, Rustika Turuka amemsimamisha kazi Mtendaji wa Kata ya Kining’inila wilaya ya Igunga mkoani Tabora John Maduhu kwa muda usiojulikana.

 

11 years ago

Habarileo

Walioiba fedha za tumbaku watakiwa kukamatwa

VIONGOZI wote wanaotuhumiwa kushiriki katika wizi wa fedha za tumbaku za wakulima, wameamriwa wakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Walimu Mwanza wadaiwa kufuja mil. 33.6/-

JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia walimu wawili wa wilayani Misungwi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za Serikali sh. milioni 33.6. Kamanda wa Polisi mkoa, Valentino Mlowola aliwataja...

 

5 years ago

Michuzi

KUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO



 
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana. 
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAIWA MCHAWI ADONDOKEA KANISANI

Stori: Haruni SanchAwa
NIkweli imetokea! Ni kwenye Kanisa la Paradise Internation Ministries lililoko Karakata Ukonga jijini Dar, mwanamke mmoja (pichani) anayedaiwa mchawi alidondoka usiku wa saa saba na kujikuta hawezi kutembea. Mwanamke anayedaiwa kuwa mchawi akiwa amedondoka Kanisani. Tukio hilo lilijiri Septemba 13, mwaka huu wakati waumini wa kanisa hilo wakiwa wamezama kwenye maombi ya kufunga. Ilidaiwa kuwa, waumini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mfahamu msichana anayedaiwa kwenda Syria

BBC ilitembelea Chuo alichosoma Salwa Amir

 

10 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUWA TAPELI WA AJIRA ANASWA

Stori: Chande Abdallah na Deogratius Mongela
YAHAYA unaishi wapi? Jamaa mmoja anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter amenaswa kwa kujipatia pesa kiudanganyifu akijifanya Ofisa wa Bodi ya Mikopo wa Chuo cha Ardhi kilichopo jijini Dar. Tapeli anayetumia majina ya Baraka, Muba au Martha Peter. Tukio hilo lilitokea  Septemba 19 mwaka huu katika Kituo cha Afya cha Kimara baada ya tapeli huyo kumlaghai dada mmoja...

 

11 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUZAA NA MWINGIRA AZUA MAPYA

Stori: Makongoro Oging na Haruni Sanchawa
KESI ya Nabii na Mtume Josephat Elias Mwingira wa Kanisa la Efhata, kudaiwa kuzaa na mke wa Dk. William Morris, Dk. Phillis Nyambi inaendelea kuunguruma katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar ambapo mlalamikiwa huyo wa pili katika shauri hilo amekiri kuzaa nje ya ndoa. Dk. Philis Nyimbi anayedaiwa kuzaa na Nabii Mwingira. Mlalamikiwa huyo, Dk. Phillis Morris Nyambi katika...

 

11 years ago

GPL

ANAYEDAIWA KUMPA MIMBA MBWA KORTINI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
LILE sakata la mume aliyetajwa kwa jina la Hamis Juma (pichani akiwa na mkewe), mkazi  wa Majohe Mji Mpya, Ilala jijini Dar kudaiwa na mkewe, Cecilia Hamis kwamba amempa mimba  mbwa yameibuka mapya, Uwazi limeyanyaka. Cecilia Hamis (kulia) akiwa na mume wake (mtuhumiwa) Hamis Juma. Ijumaa iliyopita, Uwazi lilifika kwenye ofisi za Taasisi ya Kutetea Haki za Wanyama ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani