Tegete: Walioiba fedha za Escrow wanyongwe
Straika wa Yanga, Jerryson Tegete. KILA unapokatiza kwenye mitaa habari ni juu ya sakata la fedha za Escrow, kila mtu anazungumza lake, lakini hiki kilichosemwa na straika wa Yanga, Jerryson Tegete, mmmh! Tegete amesema kuwa wahusika wote walioiba mabilioni ya fedha za mradi wa umeme, wanatakiwa kunyongwa kwa sababu imekuwa mazoea yao kuiba fedha za wananchi. Sakata hilo limekolea hasa baada ya juzi Kamati ya Hesabu za Serikali...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo23 Jul
Walioiba fedha za tumbaku watakiwa kukamatwa
VIONGOZI wote wanaotuhumiwa kushiriki katika wizi wa fedha za tumbaku za wakulima, wameamriwa wakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.
11 years ago
Mwananchi09 Jun
JK aamuru polisi iwakamate walioiba fedha za tumbaku
10 years ago
Habarileo14 Dec
Usahihi wa fedha akaunti ya Escrow
WAKATI kukiwa na taarifa zinazochapishwa na vyombo vya habari kuwa akaunti ya Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu (BoT), kwa mujibu wa makubaliano yaliyofanyika Julai 5, 2006, zilikuwa Sh bilioni 306.6, kabla ya kutolewa kwa fedha hizo mwaka 2013, taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imethibitisha sio kweli.
10 years ago
Habarileo28 Nov
Muhongo: Fedha za Escrow si za umma
SERIKALI imesema kuwa fedha zilizokuwamo katika akaunti ya Tegeta Escrow ya wanahisa wa Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), hazikuwa za umma, na ilichukua tahadhari ya kutosha dhidi ya madai mengine yanayoweza kujitokeza kabla ya kutolewa kwa fedha katika akaunti hiyo iliyokuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
10 years ago
Habarileo10 Mar
Mtuhumiwa fedha za Escrow ajichanganya
MKURUGENZI Mdhibiti Uchumi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA), Dk James Diu, amejichanganya mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma, kuhusu matumizi halisi ya fedha alizozipokea kutoka kwa James Rugemalira ambazo ni Sh milioni 80.8.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jul
Fedha za Escrow ni mali ya umma
KWA mara nyingine serikali kupitia viongozi na watendaji wake akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), wamedai kwamba kiasi cha dola za Marekani milioni 250 zilizopaswa kuendelea kuwapo katika ‘Tegeta Escrow...
10 years ago
Mwananchi23 Dec
JK: Fedha za Tegeta Escrow ni za IPTL
10 years ago
Mtanzania27 Feb
Tibaijuka afichua alivyotumia fedha za Escrow
PATRICIA KIMELEMETA NA AZIZA MASOUD
BARAZA la Maadili ya Utumishi wa Umma limesikiliza shauri la mgawo wa fedha za Escrow dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, ambaye anadaiwa amekiuka Sheria ya Maadili ya Utumishi wa Umma namba 12 (e) (1) ya mwaka 1995.
Kutokana na madai hayo, waziri huyo wa zamani wa Serikali ya awamu ya nne, amefichua namna alivyotumia fedha za mgawo wa Escrow ikiwamo kutumia Sh milioni 10 kwa ajili ya kununua...
10 years ago
Mwananchi29 Nov
‘Waliochukua fedha za Escrow wachukuliwe hatua’