Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walioiba kwa Jaji walamba miaka 30

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela watu wanne waliovamia na kuiba mali zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 12 nyumbani kwa Jaji wa Mahakama Kuu, John Mgeta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Walioiba NMB jela miaka 37, viboko 24

WATU watano wamehukumiwa kifungo cha miaka 37 jela na kuchapwa viboko 24 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kuvamia na kupora fedha benki ya NMB tawi la Maswa kwa kutumia silaha.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaji Msumi hajajifunza kwa Jaji Warioba?

BAADA ya kusikia matusi, kejeli na mipasho toka kwa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba dhidi ya Jaji Joseph Warioba, sasa macho na masikio tunaelekeza kwa Jaji mstaafu Hamis Msumi...

 

10 years ago

GPL

Tegete: Walioiba fedha za Escrow wanyongwe

Straika wa Yanga, Jerryson Tegete. KILA unapokatiza kwenye mitaa habari ni juu ya sakata la fedha za Escrow, kila mtu anazungumza lake, lakini hiki kilichosemwa na straika wa Yanga, Jerryson Tegete, mmmh! Tegete amesema kuwa wahusika wote walioiba mabilioni ya fedha za mradi wa umeme, wanatakiwa kunyongwa kwa sababu imekuwa mazoea yao kuiba fedha za wananchi. Sakata hilo limekolea hasa baada ya juzi Kamati ya Hesabu za Serikali...

 

11 years ago

Habarileo

Walioiba fedha za tumbaku watakiwa kukamatwa

VIONGOZI wote wanaotuhumiwa kushiriki katika wizi wa fedha za tumbaku za wakulima, wameamriwa wakamatwa na kufikishwa mbele ya sheria.

 

11 years ago

Mwananchi

JK aamuru polisi iwakamate walioiba fedha za tumbaku

Rais Jakaya Kikwete ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata wezi wa fedha za wakulima wa tumbaku mkoani Tabora kwa kuwafikisha mahakamani haraka iwezekanavyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Nawashangaa mawaziri wakuu wenzangu waliostaafu, wakidai CCM miaka 50 hakuna kilichofanya-Jaji Warioba

Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-MARA).

WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.

Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya...

 

9 years ago

Michuzi

NAWASHANGAA MAWAZIRI WAKUU WENZANGU WALIOSTAAFU,WAKIDAI CCM MIAKA 50 HAKUNA KILICHOFANYA-JAJI WARIOBA

 Waziri Mkuu Mstafu Jaji Joseph Sinde Warioba akihutubia wakazi wa Butiama ambapo aliwaeleza Magufuli anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
WAZIRI Mkuu mstaafu Jaji Joseph Warioba, ameibuka katika kampeni za mgombea urais wa CCM Dk. John Magufuli na kusema kuwa anashangazwa na hatua ya mawaziri wakuu wenzake kuhama CCM na kudai hakuna kilichofanyika katika miaka 54 ya Uhuru.
Pamoja na hali hiyo amesema anajua wazi huenda hata wanachokifanya hawajui wajibu wao walipokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga walamba fedha za TV

Klabu ya Yanga imeanza kunufaika na haki za matangazo ya televisheni baada ya jana kutangaza kusaini mkataba na Kampuni ya SGM ya nchini Kenya kwa ajili ya kuonyesha mechi yao ya raundi ya kwanza dhidi ya Al Ahly ya Misri.

 

11 years ago

Michuzi

ROSE MHANDO ALIZWA NA WEZI WALIOIBA ALBAMU YAKE MPYA KABLA HAJAITOA JUMAPILI

MWIMBAJI mahiri wa muziki wa Injili, Rose Muhando amelalamika kuwa albamu yake ya "Kamata Pindo la Yesu" albamu anayotarajia kuizindua Jumapili wiki hii imeingizwa mtaani na wezi wa kazi za wasanii, hivyo kuonya wananchi wawe makini kwani albamu yake halisi itatoka Jumapili.Taaifa kwa vyombo vya habari aliyoitoa Muhando jana, ilieleza kuwa albamu yake halisi bado haijaingia mtaani na kwamba hiyo wanayoiona wananchi sasa ni bandia na mtu atakayewauzia wamripoti polisi.“Albamu ya Kamata Pindo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani