Yanga walamba fedha za TV
Klabu ya Yanga imeanza kunufaika na haki za matangazo ya televisheni baada ya jana kutangaza kusaini mkataba na Kampuni ya SGM ya nchini Kenya kwa ajili ya kuonyesha mechi yao ya raundi ya kwanza dhidi ya Al Ahly ya Misri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzimatapeli walamba email ya Mchezaji wa zamani wa Yanga na Taifa Stars Ally Mayay Tembele
Mbaya zaidi, katika email yake hiyo Ally Mayay Tembele aliwahi kuambatanisha nyaraka nyeti kadhaa ikiwemo pasipoti ambazo wezi hao wanazitumia kama alama...
10 years ago
Mtanzania03 Apr
Jeuri ya fedha Yanga
MWALI IBRAHIM NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
WAWAKILISHI pekee wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho, timu ya Yanga, imeonyesha jeuri ya fedha baada ya kuamua kufunga hoteli watakayofikia mjini Bulawayo kwa siku mbili ili kukwepa kufanyiwa hujuma na wenyeji wao hao.
Uongozi wa klabu hiyo ambao haukutaka kuweka wazi jina la hoteli hiyo, umepanga kutokuruhusu mteja mwingine yeyote kuingia hotelini hapo, zaidi ya wachezaji na benchi la ufundi pekee wakihudumiwa na wahudumu wa...
11 years ago
GPLYanga yaonyesha jeuri ya fedha
9 years ago
Habarileo25 Nov
Walioiba kwa Jaji walamba miaka 30
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela watu wanne waliovamia na kuiba mali zenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 12 nyumbani kwa Jaji wa Mahakama Kuu, John Mgeta.
11 years ago
Michuzi24 Feb
YANGA SC NA SHOOTING YAINGIZA FEDHA NYINGI KULIKO SIMBA NA JKT RUVU
Na Boniface Wambura, Dar es Salaam MECHI za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) zilizohusisha timu za Yanga na Simba, na kuchezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki zimeingiza jumla ya sh. 101,165,000.Yanga ambayo iibugiza Ruvu Shooting mabao 7-0 mechi yake iliingiza sh. 68,450,000 kutokana na washabiki 11,972 kwa viingilio vya sh. 5,000, sh. 15,000 na sh. 20,000.Katika mechi hiyo kila klabu ilipata mgao wa sh. 15,687,488 wakati Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) iliyolipwa kutokana na...
5 years ago
MichuziKUTEKELEZA SERA YA FEDHA YA KUONGEZA UKWASI KATIKA UCHUMI KUMESAIDIA KUPUNGUZA VIWANGO VYA RIBA MASOKO YA FEDHA-WAZIRI WA FEDHA DK.MPANGO
Na Said Mwisehe,Michuzi TV.
SERIKALI kupitia Benki Kuu (BoT) imeendelea kutekeleza sera ya fedha ya kuongeza ukwasi kwenye uchumi ambayo imesaidia kupunguza viwango vya riba katika masoko ya fedha hususan riba za mikopo na amana.
Akizungumza leo Juni 11 mwaka 2020 Bungeni Mjini Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango amesema wastani wa riba za mikopo ya benki kwa ujumla katika kipindi cha Julai mwaka 2019 hadi Aprili mwaka 2020 ulipungua hadi asilimia 16.85 ikilinganishwa na...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Wasanii walamba zaidi ya Sh150 milioni shoo ya Tigo
10 years ago
Michuziwapiganaji walamba nondozzz Chuo kikuu huria cha Tanzania (OUT)
10 years ago
Michuziwadau wambura na Jacquiline walamba nondozzzz, kumeremeta Februari mwakani