Waliokwepa Mabwepande sasa wakubali yaishe
Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam waliopewa viwanja katika eneo la Mabwepande baada ya kutakiwa kuondoka katika Bonde la Msimbazi na kuvitelekeza wameanza kuwasili kwenye eneo hilo baada ya Serikali kuanza kuvunja nyumba zilizojengwa katika maeneo yasiyoruhusiwa kisheria.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi11 May
Vigogo waliozua mvutano Maliasili wakubali yaishe
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Waliokwepa sekondari kukiona Karagwe
Mkuu wa wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Daniel Makaka, Sengerema.
Mkuu wa wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira, amewaagiza Watendaji wa Kata kuwaorodhesha wazazi waliogoma kuwapeleka watoto wao shule baada ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2014 ili waweze kuchukuliwa hatua.
Watahiniwa waliofaulu mtihani wa elimu ya msingi mwaka 2013 ni 6,806 sawa na asilimia 50.9%, ambao kati ya hao wavulana ni 3,188 na...
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wabunge waliokwepa safari watakiwa kurejesha posho
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Waliokwepa kulipa kodi bandarini Tanzania wagunduliwa
9 years ago
IPPmedia11 Nov
'Mabwepande plots not transferable'
IPPmedia
The Dar es Salaam Regional Commissioner Said Mecky Sadick has warned people buying plots allocated for the 2011 flood victims at the Mabwepande area in Kinondoni District, saying the areas are non transferable and cannot be used as collateral.
Convince faithful to abandon flood-prone areas, clerics urgedDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)
all 2
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Ujenzi Mabwepande wageuka kizungumkuti
10 years ago
IPPmedia20 Dec
New optimism for Dar`s Mabwepande residents
IPPmedia
IPPmedia
Fatuma Chaborika (44) standing before her current shelter at Mabwepande area in Kinondoni district. PHOTO Frank Aman. Fatuma Chaborika (44) is among Mabwepande settlers who still live in shacks hurriedly erected using materials donated by ...
11 years ago
Habarileo10 Aug
Mafundi gereji Tegeta wapelekwa Mabwepande
SERIKALI imewataka wananchi wanaojulikana kama Umoja wa Mafundi Gereji, waliopo eneo la Tegeta Wazo Hill jijini Dar es Salaam kuondoka eneo hilo kabla ya Agosti 17 mwaka huu na kuhamia eneo walilotaarifiwa, ili kutekeleza amri ya Mahakama Kuu Kitengo cha Ardhi.
10 years ago
Daily News26 Apr
Plot sellers at Mabwepande to face legal action
Daily News
MABWEPANDE-Mji Mwema residents in Kinondoni District, Dar es Salaam Region may face legal action if they dare sell plots allocated to them few years ago. The warning comes amidst reports that some members of the public have already made attempts ...