Waliokwepa sekondari kukiona Karagwe
Mkuu wa wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Na Daniel Makaka, Sengerema.
Mkuu wa wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira, amewaagiza Watendaji wa Kata kuwaorodhesha wazazi waliogoma kuwapeleka watoto wao shule baada ya kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2014 ili waweze kuchukuliwa hatua.
Watahiniwa waliofaulu mtihani wa elimu ya msingi mwaka 2013 ni 6,806 sawa na asilimia 50.9%, ambao kati ya hao wavulana ni 3,188 na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Waliokwepa Mabwepande sasa wakubali yaishe
9 years ago
BBCSwahili04 Dec
Waliokwepa kulipa kodi bandarini Tanzania wagunduliwa
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Wabunge waliokwepa safari watakiwa kurejesha posho
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iiTUTtyGFg0/XujKtPyQpWI/AAAAAAALuEE/niDtRJvqK-QmxWNZcpLFHZt3VwpiyTwyQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.33.47%2BPM.jpeg)
WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA
![](https://1.bp.blogspot.com/-iiTUTtyGFg0/XujKtPyQpWI/AAAAAAALuEE/niDtRJvqK-QmxWNZcpLFHZt3VwpiyTwyQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.33.47%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-b0IFsGsOvuI/XujKtEkDneI/AAAAAAALuEA/AYeS1Bl60pI1fh74EGdM96oqIWFS5DA8QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.34.09%2BPM.jpeg)
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-pEW3hs-ayjY/VXncRILwGUI/AAAAAAAAd18/M6HN2IQKGcs/s72-c/23.jpg)
KINANA KARAGWE
Akabidhi pikipiki tano
Asisitiza kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Ameahidi kusimamia haki na kutetea wanyonge
![](http://4.bp.blogspot.com/-pEW3hs-ayjY/VXncRILwGUI/AAAAAAAAd18/M6HN2IQKGcs/s1600/23.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Xd3OiUMlyyA/VXncRaHo4vI/AAAAAAAAd2A/sV5G6DsQNXQ/s640/24.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NXgQMmpfhwQ/VXncL_izxaI/AAAAAAAAd10/p7wNnmPTNHw/s640/25.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima24 May
DC wa Karagwe apata ajali
MKUU wa Wilaya ya Karagwe mkoani Kagera, Darry Rwegasira amepata ajali katika Kijiji cha Kalebezo, Kata ya Nyamirembe Wilayani Chato mkoani Geita juzi. Akizungumza kwa njia ya simu na Tanzania...
10 years ago
Mtanzania16 May
Mbunge amtisha DC Karagwe
Na Arodia Peter, Dodoma
MBUNGE wa Karagwe (CCM), Gozibert Blandes, amemtishia kumfanyia kitu kibaya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Dari Rwegasira, kutokana na kuwapendelea wahamiaji haramu kutoka Rwanda.
Mbali na hilo pia mbunge huyo ameitaka Serikali kumhamisha.
Blandesi alitoa vitisho hivyo bungeni jana wakati akichangia bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2015/2016.
Alisema Rwegasira amekuwa mstari wa mbele kunyanyasa wananchi kwa kuwanyang’anya ardhi katika vijiji vilivyo mpakani na...
10 years ago
Habarileo16 May
Serikali kumchunguza DC wa Karagwe
SERIKALI imepokea tuhuma dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Karagwe, Darry Rwegasira za madai ya kuwanyanyasa wananchi wa wilaya hiyo na kuwapa kipaumbele wahamiaji haramu kutoka Rwanda.
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Maaskofu KKKT Karagwe wacharuka
MAASKOFU, wachungaji na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, wamecharuka na kuvamia Kituo cha Polisi cha Karagwe wakipinga Mchungaji wao, Jackson Kanyiginya, kunyimwa dhamana...