Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WALIOOA GLOBAL WAWATOA JASHO MABACHELA

Kikosi cha Mabachela wa Global kabla ya mtanange kuanza. Kikosi cha wafanyakazi wa Global Publishers waliooa kilichoanza mechi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Polisi wawatoa hofu watalii Zanzibar

Polisi imewatoa wasiwasi wananchi wa visiwani hapa na watalii kutoka nchi ya nje ikisema  itamarisha  ulinzi na usalama katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu.

 

5 years ago

BBCSwahili

Papa Francis atofautiana na Maaskofu juu ya kuruhusiwa kwa waliooa kuwa mapadre

Amepinga kura iliyopigwa mwaka jana na maaskofu wa kanisa hilo waliounga mkono kuwatawaza mapadri wanaume waliooa katika kanda yenye misitu wa mvua la Amazon

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA JASHO CHAPACHAPA

Na Waandishi Wetu
MCHUNGAJI Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, jana amehojiwa kwa saa tano na kutoka katika Kituo Kikuu cha Polisi, Dar akiwa chapachapa kwa jasho ndani ya koti kufuatia yale madai ya kumtolea maneno yenye kuudhi, Askofu wa Kanisa la Romani Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo. MCHUNGAJI Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Awali Gwajima...

 

10 years ago

GPL

ASAULA AKIMFUTA JASHO BI. HARUSI

Stori:Dustan Shekidele, Morogoro
HII aibu ya kufungulia mwaka wa 2015! Mwanamke mmoja ambaye inadaiwa ni mke wa mtu aliyefahamika kwa jina la Mishi Choggo ametoa kali ya mwaka baada ya kusaula kisha kutumia gauni lake kumfutia jasho bi. harusi. Mwanamke huyo akisahula wakati anamfuta jasho bibi harusi. Bi’mkubwa huyo alifanya kioja hicho Jumamosi iliyopita katika Ukumbi wa Rose Garden maeneo ya Mafinga mkoani hapa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mancity kutoana jasho na Arsenal

Sergio Aguero na Vincent Kompany wanatarajiwa kuanza baada ya kushirikishwa miongoni mwa wachezaji wa ziada wiki iliopita

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanawake kutoana jasho Namibia

Timu za soka ya akina dada kutoka Nigeria, Ghana na Cameroon ndizo zinazopigiwa upato zaidi kushinda kombe la mabingwa Afrika .

 

9 years ago

BBCSwahili

Besigye kutoana jasho na Museveni

Kiongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye atapambana na rais Yoweri Museveni kwa mara ya nne katika uchaguzi mkuu mwaka ujao

 

10 years ago

BBCSwahili

Tunisia kutoana jasho na Zambia

Zambia italazimika kuimarisha safu ya kati katika mechi didi ya Tunisia kufuatia jeraha la mchezaji Nathan Sinkala .

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI WATOANA JASHO

Musa mateja na Imelda Mtema
Nisheedah! Gumzo la mjini wiki hii ilikuwa ni shoo ya mchumba wa Nasibu Abdul ‘Diamond’ Zarinah Hassan ‘Zari’ iitwayo Zari All White Party iliyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar na ile ya Instagram Party ambayo ilimhusu mrembo Wema Sepetu iliyofanyika jijini Mwanza ambapo nyuma ya pazia, warembo hao walitoana jasho kuhakikisha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani