Waliotibua shambulizi watuzwa Ufaransa
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amatoa tuzo la juu zaidi nchini Ufaransa kwa Waamerika wanne ambao walitibua shambulizi la kigaidi kwenye treni ya mwendo wa kasi kwenda mjini Paris siku ya Jumamosi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Washirika wa shambulizi Ufaransa wasakwa
Polisi nchini Ufaransa wamesema kuwa wanawasaka washirika wa mhusika wa shambulizi la kigaidi Amedy Coulibady.
10 years ago
GPLPOLISI UFARANSA YAUA WASHUKIWA SHAMBULIZI LA CHARLIE
Makomandoo wakirusha mabomu sambamba na moto katika Glosary kabla ya kumkabili mtekaji, Amedy Coulibaly.
Picha ikiwaonyesha maofisa polisi wakiwa wameuzunguka mwili wa mtekaji, Amedy Coulibaly.
Baadhi ya…
11 years ago
BBCSwahili14 Jul
Messi na Nuer watuzwa na FIFA
Mshambulizi wa Argentina Lionell Messi na Kipa wa Ujerumani watuzwa na FIFA
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Wenger na Giroud watuzwa na EPL
Olivier Giroud na kocha Arsene Wenger wamechaguliwa kama washindi wa taji la mwezi la mchezaji bora na mkufunzi bora
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Punda watuzwa kwa uaminifu na bidii
Punda wawili wamepatiwa tuzo na mwanasiasa mmoja wakielezwa kuwa na uaminifu kuliko binadamu
10 years ago
MichuziWAFANYAKAZI MGODI WA NORTH MARA WATUZWA KWA UMAHIRI NA UMAKINI KATIKA KAZI
Meneje Mkuu wa Mgodi wa North Mara, Gary Chapman, akizungumza kwenye hafla ya awamu ya pili ya utoaji tuzo za umahiri mwaka 2014 (CEO Excellence Awards 2014), iliyofanyika Jumanne usiku Machi 23, 2014, kwenye mgodi huo ulioko Nyamongo, wilayani Tarime mkoa wa Mara.Meneja mkuu wa mgodi wa North Mara, Gary Chapman, (kushoto), akishuhudia wakati Le Poer Trench, (katikati) na Albert Rudman, wakionyesha tuzo za umahiri za mwaka 2014, (CEO ECellence Aawards 2014), walizopokea kwa niaba ya idara ya...
10 years ago
BBCSwahili16 Mar
Shambulizi laua 45 Nigeria
Wanawake na watoto wachanga zaidi ya 45 wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa katika kijiji kimoja huko Egba katika jimbo la Benue Nigeria
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Walioshuhudia shambulizi la Garissa
Kufuatia shambulizi la chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya baadhi ya wanafunzi waliweza kusema yale walioshuhudia.
9 years ago
BBCSwahili18 Aug
Shambulizi la Thailand lalaaniwa
Waziri mkuu wa Thailand ametaja shambulizi la bomu ambalo lilitokea mjini Bankok kisa kibaya zaidi kuwahi kutokea nchini humo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania