Waliotoa siri za afisi ya Papa washtakiwa
Watu 5 wamefunguliwa mashtaka katika makao makuu ya kanisa katoliki Vatican,kwa tuhuma za kutoa na kuchapisha nakala za siri.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog25 Nov
#PAPA TOUR KENYA: Wakenya wampokea Papa kwa mara ya kwanza ujio wake Bara la Afrika!
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akisalimiana na Papa Francis wakati alipowasili mapema leo Novemba 25 katika jiji la Nairobi nchini Kenya.
Papa Francis ameanza ziara yake Afrika kwa kuhimiza umoja, uwazi, kuwathamini vijana na kuyatunza mazingira.
Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki aliwasili Nairobi mwendo wa saa kumi unusu jioni na kukaribishwa kwa shangwe na viongozi wa kisiasa na kidini uwanja wa ndege.
Baada ya kuwasili, alielekea Ikulu ambako alipanda mti kisha kukutana na Rais Uhuru...
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Mastaa waliotoa ujumbe wa Merry Christmas leo Deo 25….. #instagram
Leo Dec 25 ni sikukuu ya Christmas sasa hapa nimekusogeza kile kilichoandikwa na mastaa mbalimbali kuhusiana na siku ya leo. Nawatakia mery xmass na mwaka mpya mashabiki wangu wa ukweli najua mnanipenda nami nawapenda sana! 😍😍😘😘😘😘 A photo posted by shishi bybee /she roll it (@shilolekiuno) on Dec 24, 2015 at 8:20pm PST Nawatakia heri […]
The post Mastaa waliotoa ujumbe wa Merry Christmas leo Deo 25….. #instagram appeared first on...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/XewtWaR3V6Yn8z8hshnSzsmEtFULgSqp7EIBWm7u0rI*VBAzV1JlzKMK0G39aR9ZRgi0dRgkTMKHnbPqQEWFmYuuwHhcmY9P/1.jpg?width=650)
PAPA FRANCIS AWATANGAZA PAPA JOHN PAUL II, JOHN XXIII KUWA WATAKATIFU
10 years ago
BBCSwahili20 Aug
Afisi za NFF abuja zateketea
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
YAHOO kufunga afisi zake China
9 years ago
BBCSwahili03 Nov
Polisi wavamia afisi za soka Ujerumani
10 years ago
Dewji Blog20 Jul
Jaji Bomani akabidhi tuzo kwa Watanzania waliotoa mchango mkubwa kutetea haki na jamii nchini
Jaji mstaafu Mark Bomani (kulia) akimkabidhi Tuzo ya maono mapevu, Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimvisha skafu yenye Neno Tanzania Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema.
Jaji mstaafu Mark Bomani akimkabidhi Tuzo ya uwazi na ukweli Mkurugenzi wa Under the Same Sun,Vicky Ntetema tuzo ya ubunifu, tuzo ambazo zimetolewa na taasisi ya Dream Success Enterprises.
Jaji mstaafu Mark Bomani Skafu Saed Kubenea taasisi ya Dream Success...
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Afisi za riadha Kenya zimefungwa siku ya pili
10 years ago
MichuziDKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA AFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR