Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMA ni mradi wa kusaidia CCM au ulaji?

UKISIKIA Wama inatamkwa ujue hapa inazungumziwa asasi isiyo ya serikali, inayoshughulikia Wanawake na Maendeleo. Asasi hii iliyoanzishwa mara baada ya Rais Jakaya Kikwete, kuingia madarakani mwaka 2006, imeibua mjadala bungeni....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

WAMA na Balozi wa Jamuhuri ya watu wa China kufanya ziara mikoa ya kanda ya ziwa kusaidia jamii

Picha 1

Mkurugenzi wa Uboreshaji Afya Wama, Dkt.Sarah Maongezi (Kulia) akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu ushirikiano uliopo  baina ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo pamoja na Jamuhuri ya Watu wa China nchini katika kusaidia wananchi ikiwemo ziara wanaoyotarajia kuifanya katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kuanzia tarehe 12 hadi 19 Aprili mwaka huu,Katika ni katibu wa Balozi wa China nchini,Ren Zhihong na Meneja Mawasiliano wa Wama Philomema Marijani.

Picha 2

Katibu wa  Balozi wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mradi wa Mwanamke Mwezeshe wa WAMA wakopesha wanachama wa vikundi vya Hisa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9

img_08581

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete.

Na Anna Nkinda  – Maelezo , Nachingwea

Jumla ya mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.9 zimetolewa kwa wanachama wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba vilivyopo chini ya mradi wa Mwanamke Mwezeshe unaosimamiwa na Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA).

Hayo yamesemwa na  Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi vya mradi wa Mwanamke...

 

9 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Michuzi

WAMA KWA KUSHIRIKIANA NA UNICEF WAANDAA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SEKONDARI WAMA-NAKAYAMA

Mkuu wa Kitengo cha Uragibishi na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani akiwakaribisha walimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama iliyoko katika Kijiji cha Nyamisati huko Wilayani Rufiji yaliyofanyika shuleni hapo tarehe 15.9,2014. Baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo...

 

9 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA- SHULE ZA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA RUFIJI NA WAMA SHARAF LINDI

 Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf, Mitwero Lindi

Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama, Nyamisati -Rufiji



Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule zake mbili za Sekondari:


(1)   Shule ya Sekondari WAMA -  Nakayama  iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani:

(2)   Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf iliyopo Mitwero katika  Manispaa ya Lindi


WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa ‘Sauti Yetu’ kusaidia wenye VVU

SHIRIKA lisilo la kiserikali linalohamasisha na kutetea haki za binadamu la WCSA linatekeleza mradi wa Sauti Yetu unaowalenga kuwasaidia watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU) na Ukimwi ili sauti zao ziweze kusikika.

 

10 years ago

Michuzi

NBC YAMWAGA MILIONI 62 KUSAIDIA MRADI WA USIMAMIZI WA TAKA

Meneja Miradi wa Envirocare, Bw Isreal Richard (kulia) akizungumza wakati wa ufunguzi wa semina ya siku moja ya mradi wa majaribio wa usimamizi wa taka kwa utunzaji mazingira na ustawi wa jamii jijini Dar es Salaam leo. Mradi unaendeshwa na Envirocare kwa ufadhili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC).Ofisa Afya Mazingira wa Manispaa ya Kinondoni, Kawa Kafuru (kulia) akizungumza na washiriki wa semina hiyo.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Bongo5

Mradi wa Mavoko kusaidia watoto waliofungwa jela wakwama

Rich Mavoko amedai amekwamishwa na wahusika wa magereza za watoto katika mradi wake wa kuwatembelea watoto waliofungwa jela na kuwapa mahitaji yao. Mwaka jana Mavoko alijitangaza kuwa ni balozi wa watoto waliofungwa baada ya yeye kupitia maisha magumu kama hayo. Mavoko ameiambia Bongo5 kuwa maofisa wa magereza wamekuwa wakimpiga kalenda kila siku. “Ile tumeshindwa kuitangaza […]

 

9 years ago

GPL

AIRTEL KUPITIA MRADI WA TUNAKUJALI WAENDELEA KUSAIDIA SHULE HAPA NCHINI

Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akizungumza kabla ya kukabidhi darasa la awali ‘Chekechea’ lililokarabatiwa kwa hisani ya Wafanyakazi wa Airtel kama sehemu ya huduma kwa jamii, katika Shule ya Msingi Kumbukumbu iliyopo Block 41, jijini Dar es Salaam jana.  Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso akikata utepe kama ishara ya kukabidhi darasa la awali ‘Chekechea’, lililokarabatiwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani