Wamalawi kumpima kocha mpya Stars leo
TIMU ya soka ya Tanzania, Taifa Stars chini ya kocha wake mpya, Mholanzi Martinus Ignatius ‘Mart’ Nooij, leo wanawakabili Malawi ‘The Flames’ katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa Uwanja...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
KOCHA MPYA WA TAIFA STARS AONGEZA WACHEZAJI TISA STARS

Wachezaji walioongezwa ni Edward Charles Manyama (JKT Ruvu), Elias Maguli (Ruvu Shooting), Hassan Dilunga (Yanga), Hussein Javu (Yanga), John Bocco (Azam), Kelvin Friday (Azam), Oscar Joshua (Yanga), Nadir Haroub (Yanga) na Shomari Kapombe (AC Cannes, Ufaransa).
Naye beki...
11 years ago
GPL
KOCHA MPYA STARS
10 years ago
BBCSwahili24 Jun
Taifa Stars yapata kocha mpya
11 years ago
Tanzania Daima28 Apr
Kocha mpya Stars ataka muda
KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Martinus Ignatus ‘Mart Nooij’, ameshindwa kuzungumzia kiwango alichokiona juzi dhidi ya Burundi na kudai kuwa anatakiwa kupewa muda ili afanye...
9 years ago
Habarileo03 Dec
Kocha Kibadeni aibua mpya kutolewa Kili Stars
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibaden amedai Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) lilichangia timu yake kutolewa katika michuano ya Chalenji.
11 years ago
GPL
Kocha mpya Stars aanza kazi akiwa Ulaya
11 years ago
BBCSwahili20 May
Wamalawi wafanya uchaguzi mkuu leo
10 years ago
VijimamboCHARLES BONIFACE MKWASA ATANGAZWA KUWA KOCHA MPYA STARS NA NOOIJ AWAGA WATANZANIA
10 years ago
Michuzi
Kocha wa Zamani wa Taifa Stars,marehemu Sylvester Marsh azikwa leo jijini Mwanza

