Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamasai wapinga ujenzi wa hoteli ndani ya Ngorongoro

>Wafugaji wa jamii ya Kimasai wanaoishi ndani ya Mamlaka a Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wamepinga ujenzi wa hoteli mpya katika kingo za bonde la Ngorongoro kwa sababu licha ya kuathiri mazingira pia itaziba mapito ya wanyamapori na malisho ya mifugo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wamasai wataka uwekezaji kusitishwa Ngorongoro

 

DSC_0200

Kiongozi wa mila tarafa ya Ngorongoro, Augustino Pakai Olonyokei akizungumza na Meneja uendeshaji wa mtandao wa habari wa modewjiblog, Zainul Mzige aliyefika eneo hilo kwa ajili ya kuangalia miradi mbalimbali inayoendeshwa kusaidia jamii ya wafugaji wa kimasai hivi karibuni.

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro

KIONGOZI wa mila tarafa ya Ngorongoro Augustino Pakai Olonyokei ameitaka serikali kusimamisha uwekezaji katika Mamlaka ya Ngorongoro ili kupunguza shinikizo la raslimali katika eneo...

 

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

10 years ago

Michuzi

Mh. Nyarandu azungumza na wanahabari kuhusu uvumi wa kuhamishwa kwa jamii ya wamasai katika hifadhi ya ngorongoro

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza na Waandishi wa Habari (hawako pichani) katika Ukumbi wa Habari wa Bunge Mjini Dodoma leo Novemba 21,2014, kuhusu Uvumi ulioanza kuenea kuwa jamii ya wamasai wanaoishi katika hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro kuwa watahamishwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali yaridhia ujenzi wa hoteli

Hatimaye Serikali imetoa idhini ya ujenzi wa hoteli ya kitalii katika eneo jirani na Kingo za Kreta ya Ngorongoro, eneo ambalo awali lilitangazwa kupigwa marufuku kufanyika kwa ujenzi wa aina yoyote.

 

10 years ago

Mwananchi

Kinana: Ujenzi barabara ‘ya Ngorongoro’ umeiva

Katibu mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema mpango wa ujenzi wa barabara ya lami kutoka Monduli kupitia Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro hadi Mugumu umekamilika baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza mazungumzo na nchi zilizokuwa zimegoma.

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi akagua ujenzi wa Hoteli Mpya ya Daraja la Saba ya Grand Hayatt Zaznzibar

Na Othman Khamis Ame, OMPR Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amefanya ziara fupi ya kukagua ujenzi wa Hoteli Mpya ya Daraja la Saba ya Grand Hayatt  inayojengwa katika eneo lililokuwa Starehe Club ndani ya Mji Mkongwe wa Zanzibar.  Ujenzi wa Hoteli hilo inayomilikiwa na Kampuni ya Kimataifa ya ASB Holding’s unafanywa na Kampuni ya Kimataifa ya Ujenzi kutoka Jamuhuri ya Watu wa China ya CRJ. Kampuni hiyo ya ASB Holding’s katika ujenzi wake huo imechukuwa hatua za...

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif atembelea eneo la Mji Mkongwe Zanzibar kuangalia mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Bw. Issa Sarboko Makarani, akitoa ufafanuzi mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand Hyatt, katika eneo la Shangani Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mji Mkongwe Bw. Issa Sarboko Makarani, akitoa ufafanuzi mbele ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, kuhusiana na mradi wa ujenzi wa hoteli ya kisasa ya Grand...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mnuso wa uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa wafana ndani ya hoteli ya White Sands

IMG_0253

DSC_0351

Cake maalum iliyoandaliwa kwenye sherehe za uzinduzi wa shamra shamra za miaka 70 ya Umoja wa Mataifa uliofanyika mwishoni mwa juma kwenye hoteli ya White Sands jijini Dar es Salaam.

DSC_0354

Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (katikati) akiteta jambo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women nchini Tanzania, Anna Collins kabla ya zoezi la kuwasha mishuma 70 kwenye cake hiyo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani