Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamasai waridhia kuacha ukeketaji

Mokombo Olaiboni SimeliVIONGOZI wakuu wa jamii ya Kimasai wa Afrika Mashariki wameridhia kuachana na mila potofu zilizopitwa na wakati ikiwemo vitendo vya ukeketaji kwa wasichana wa jamii ya Kimasai ambavyo vimekuwa vikiwaathiri wasichana hao kwa kiasi kikubwa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA KIMASAI WARIDHIA KUACHA UKEKETAJI

Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto) akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa jamii ya kimasai, wazazi, viongozi wa shule za msingi na sekondari Wilayani Ngorongoro, wakuu wa idara ya afya na vitengo vya ustawi wa jamii wilaya ya Ngorongoro. Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto) akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa jamii ya kimasai, wazazi, viongozi wa shule za msingi na sekondari Wilayani Ngorongoro, wakuu wa idara ya afya na vitengo vya ustawi wa jamii wilaya ya Ngorongoro.Susana Koillah, Mama Shughuli na mtafsiri wa lugha ya Kimasai katika semina hiyo akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) kabla ya kutafsiri mada yake kwa wanasemina. Susana Koillah, Mama Shughuli na mtafsiri wa lugha ya Kimasai katika semina hiyo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Viongozi wa Kimasai waridhia kuacha ukeketaji mbele ya UNESCO

Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto) akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa jamii ya kimasai, wazazi, viongozi wa shule za msingi na sekondari Wilayani Ngorongoro, wakuu wa idara ya afya na vitengo vya ustawi wa jamii wilaya ya Ngorongoro.

Mkuu wa ofisi na Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kushoto) akimpongeza Kiongozi Mkuu wa Jamii ya Kimasai Afrika Mashariki, Mokombo Olaiboni Simeli kwenye semina ya viongozi mbalimbali wa jamii ya kimasai, wazazi, viongozi wa shule za msingi na sekondari Wilayani Ngorongoro, wakuu wa idara ya afya na vitengo vya ustawi wa jamii wilaya ya Ngorongoro.

Susana Koillah, Mama Shughuli na mtafsiri wa lugha ya Kimasai katika semina hiyo akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Sayansi, Elimu na Utamaduni (UNESCO) nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigues (kulia) kabla ya kutafsiri mada yake kwa wanasemina.

Susana Koillah, Mama Shughuli na mtafsiri wa lugha ya Kimasai...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kwanini ni vigumu kuacha ukeketaji?

MKATABA wa Haki ya Mtoto unasema kwamba Maendeleo ya mtoto yanahusu ukuaji wake kimwili, kiakili, kimaadili na kiroho. Haki ya Elimu, Watoto na Ajira, Elimu ya Uhusiano wa wasichana na...

 

10 years ago

Habarileo

Wazee waapa kuacha ukeketaji

WAZEE wa kimila kutoka koo zote za kabila la Wakurya wilayani Tarime, wamekubaliana mbele ya Mkuu wa wilaya Tarime, John Henjewele, kuacha kukeketa watoto wa kike.

 

11 years ago

BBCSwahili

Waasi Libya waridhia mafuta yauzwe

Makubaliano yameafikiwa kati ya Serikali na waasi kuondoa kizuizi cha kusafirisha mafuta mashariki mwa Libya kuyauza ng'ambo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Kalambo waridhia uanzishwaji CHF

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo, mkoani Rukwa, limeridhia kupitisha sheria itakayoruhusu kuanzishwa kwa Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF). Wakipitisha sheria hiyo ndogo, wajumbe wa baraza...

 

10 years ago

Mwananchi

ARDHI: Waridhia shamba la Hanga kurejeshwa

>Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea wameridhia kwa pamoja kuwa shamba la mifugo la Hanga Ngadinda wapewe wananchi ili waweze kuliendeleza kwa shughuli za kilimo na mifugo, badala ya kuendelea kutotumika au kupewa mwekezaji mmoja.

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri waridhia kuanzishwa Mfuko wa Ukimwi

William LukuviBARAZA la Mawaziri limepitisha suala la uanzishwaji wa Mfuko wa Ukimwi na kuridhia mapitio ya Sheria ya Ukimwi.

 

10 years ago

Habarileo

Waridhia Moshi kuwa Jiji mwaka 2015

MKOA wa Kilimanjaro umepitisha rasmi azimio la kuiomba Serikali kuipandisha hadhi Halmashauri ya Manispaa ya Moshi kuwa jiji ifikapo mwaka 2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani