WAMEGOMBANA, WANATAKA KUACHANA? WE’ INAKUHUSU NINI?
![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N*LlLG6zkeUaEHdVinqWacpjloN7-ol-Cm55vxGPTTlWrXRjO1bFBYXQNBwdT8PdmzN6w3qM3hN3cttMm2mFSyr/depression1.jpg?width=650)
Ni Ijumaa nyingine nzuri tunapokutana tena nawe msomaji wangu, nategemea uko poa kwa kudra za Mungu na unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Karibu kwenye uwanja wetu huu na leo nataka kuzungumza nawe mada ya tofauti kidogo. Jambo lenyewe ninalotaka kuzungumza nawe msomaji wangu, ni tabia waliyonayo baadhi ya watu ya kushadadia matatizo ya kimapenzi yanayotokea kwenye maisha ya watu wao wa karibu, wawe ndugu, marafiki,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Sep
Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili?
Mohamed Said Bonyeza Audio
The post Lecture of Mohamed Said juu ya kwa nini Wzanzibar wanataka mamlaka kamili? appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
CloudsFM17 Aug
Kama wewe upo Kahama hii inakuhusu...
HIVI NI BAADHI YA VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA KUANZIA MUDA HUU:
Uwanjani kutakuwa na gari moja, Bijampora kutakuwa na gari moja, Fantoni kutakuwa na gari moja, Stendi kuu kutakuwa na gari moja, Galaxy/Social/Chila kutakuwa na gari moja.
TAADHARI:
Kinywaji cha aina yeyote ile kutoka nje ya eneo la uwanja wa kahama hakitaruhusiwa kuingia.. Huduma ya chakula na vinywaji kutoka Serengeti Breweries Limited vitapatikana kwa wingi.
Pia yeyote mwenye umri chini ya miaka 18...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscbGb*f2B-fMj5srpLE1UYIc5SPTvT8BYXM-fYTMR0SvP4zLznsG-Rf-F1WFsbx2a5B9xO9L4zI4zQ3QXSHgnBYS/barua.jpg)
CHAZ BABA UKIENDEKEZA KUPIGA, JELA INAKUHUSU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xkVCMRT4uG9PAJjc7fDVlV40CAdl7JDDJqil*4qEDvUHciEsKLkQPKPGOe-XvxPJRgPOijEj4wbU6atCg4kT61GujEwj2zlV/7.jpg?width=650)
KAMA MPENZI WAKO ANA WIVU, HII INAKUHUSU SANA!
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RH1uR6pGuUQ/UysHCRXdIcI/AAAAAAAFVHs/kJK2StVwbJ0/s72-c/IMG_20140318_201929_resized.jpg)
9 years ago
Vijimambo16 Oct
MAMBO YA WIKIEND HAYO KAMA WEWE KAPO YA NGUVU HII INAKUHUSU UNAWEZA KUTUPIA HIVI KIROHO SAFI TU
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/16/20/2D69540600000578-3276444-image-m-18_1445024476540.jpg)
Kama wewe couple ya nguvu weekend hii unaweza kutupia kama hivi ukiwa na mama mwenye nyumba wako kiroho safi. Wale wenye wivu wajinyoge na toilet paper habari ndiyo hii jipendeni kwani maisha ni hapa hapa dunia.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/10/14/16/2D611DED00000578-0-Cute_The_Project_Runway_star_was_also_checking_out_her_art_deale-a-8_1444834902461.jpg)
9 years ago
Habarileo02 Nov
‘Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo’
MBUNGE wa Viti Maalumu mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe, amesema ushindi wa kishindo wa Dk John Magufuli, ni ishara kuwa Watanzania wanataka mabadiliko ya maendeleo na si bora mabadiliko.