Wana Arumeru Mashariki walivyomuenzi mwalimu Nyerere
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,Joshua Nassari (kushoto) akiangalia wananchi wake wakiendelea na uchimbaji wa mtaro wa kupitisha Mabomba ya Maji ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha kumbukumbu ya Baba wa Taifa,Mwalimu Julius K. Nyerere kwa kuhakikisha Ahadi ya maji kwa wananchi wa Manyata na Nganana kata ya Usa River inatimia.
Mbunge Nassari aliingia kazini kuanzia asubuhi mpaka jioni. Mradi huu umetoa maji umbali wa kilomita 9 toka kwenye chanzo (Uraki). Wananchi wa Arumeru walikuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MTIA NIA UBUNGE JIMBO LA MBARALI LIBERATUS MWANG'OMBE AWASILI MWALIMU NYERERE INTERNATIONA AIRPORT TAYARI KWA KUANZA SAFARI YAKE YA KUWATUMIKIA WANA MBARALI

Mwang'ombe anatarajia kuwa na mikutano na baadhi ya viongozi wa kitaifa Makao Makuu ya CHADEMA hapo kesho kabla ya kuelekea jimboni, Mbarali, siku mbili zijazo.
Akiongea na muwakilishi wa studio za SUN SHINE kutoka Chimala punde tu alipo shuka Airport ya Mwalimu Nyerere, Mwang'ombe amesema...
10 years ago
GPL14 Oct
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Mbunge wa Arumeru Mashariki apandishwa kizimbani
Mbunge wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA).
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
MBUNGE wa jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nasari ,(CHADEMA)anatarajiwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na kutumia silaha na kisha kumteka mtendaji wa kata ya Makiba, na kuchoma bendera za chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali wilayani Meru.
Kamanda wa Jeshi la polisi mkoa wa Arusha Liberatus Sabas, amesema tukio hilo limetokea Desemba 14 mwaka huu wakati mbunge huyo alipokuwa akifuatilia...
10 years ago
GPL
MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI APATA AJALI JIONI YA LEO
10 years ago
Raia Tanzania20 Jul
Sarakikya aainisha mambo sita kuikomboa Arumeru Mashariki
KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arumeru, Arusha, William Sarakikya (42), anayeomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge wa chama hicho Jimbo la Arumeru Mashariki, ameweka hadharani mambo sita ya msingi atakayoyasimamia na kuyatekeleza iwapo wananchi wa jimbo hilo watamchagua.
Sarakikya ni kati ya watia nia kupitia CCM waliojitokeza kuchukua fomu kuwania ubunge jimboni humo anyepewa nafasi kubwa ya kukabiliana na mgombea wa mungano wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya...
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
CloudsFM06 Jun
MBUNGE JOSHUA NASARI WA ARUMERU MASHARIKI KUFUNGA NDOA KESHO
MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Mh Joshua Nassari kesho anatarajia kufunga ndoa na Bi Anande Nko katika kanisa la Pentekoste, Kilinga lililoko wilaya ya Meru ambako Mh Nassari alianzia masuala ya Kiimani ikifuatiwa na Sherehe kubwa ya Harusi itakayo fanyika katika viwanja vya Usa-River Academy jirani na Hotel ya Ngurdoto.
Kwa Mujibu wa Mh Nassari ,sherehe hizo zitakazoanza majira ya saa saba mchana watu wote wamealikwa wakiwemo ndugu, marafiki, Jamaa na wananchi jimbo la Arumeru...
10 years ago
Michuzi
JOSHUA NASSARI ACHAGULIWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI

