Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanachama SACCOS Kigoma wanusurika kupigana

Wanachama wa Chama cha Ushirika cha Jikomboe SACCOS katika halmashauri ya wilaya ya Kigoma wamenusurika kupigana baada ya kuhitilafiana juu ya kuendelea ama kutoendelea kufanyika kwa mkutano maalumu uliolenga kujadili ubadhilifu wa zaidi ya shilingi milioni 300 unaodaiwa kufanywa na baadhi ya viongozi wa chama hicho. Wanachama hao ambao ni watumishi chini ya Ofisi ya Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo wameingia katika mzozo huo baada ya katazo la kutofanyika kwa mkutano huo...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

MRT SACCOS yaonya wanachama wake

CHAMA cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha walimu Moshi vijijini (MRT SACCOS) kimetoa siku 40 kwa baadhi ya wanachama wake kurejesha fedha za mikopo na wasipofanya hivyo watafungiwa kupata...

 

11 years ago

Mwananchi

Saccos yapunguza riba kwa wanachama wake

Chama cha Akiba na Mikopo cha Mazombe Saccos Ltd, Wilaya ya Kilolo, mkoani hapa, kimepunguza riba ya mikopo kwa wanachama wake kutoka asilimia tatu kwa mwezi hadi 2.5.

 

5 years ago

Michuzi

SACCOS ZATAKIWA KUWEKEZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAO

 Mrajisi Msaidizi anayesimamia vyama vya ushirika wa Kifedha kutoka Dodoma Josephat Kisamalala akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo AFISA Ushirika kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Dodoma Boniphace Moshi akizungumza wakati mafunzo hayo MRAJISI Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Tanga Jackline Senzige akizungumza wakati wa mafunzo hayo Sehemu ya washiriki kwenye mafunzo hayo Sehemu ya washiriki kwenye kikao hicho wakifuatilia matukio mbalimbaliVYAMA vya Ushirika wa Akiba na...

 

9 years ago

GPL

SHIGONGO ATOA SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TCRA SACCOS

Eric Shigongo akifundisha somo la Sheria 10 zilizothibitishwa za jinsi ya kutoka kwenye umasikini hadi mafanikio kwa wanachama wa TCRA Saccos. Baadhi ya wafanyakazi na wanachama wa TCRA Saccos wakimsikiliza kwa makini somo la…

 

10 years ago

Dewji Blog

Wanachama wa SACCOS ya Katoro, Geita watembelea Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

PG4A1441

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza  na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Katoro , Geita waliotembelea Bunge mjini Dodoma Novemba 24, 2014 kwa mwaliko wa Mbunge wao, Lolesia Bukwimba. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A1432

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika  picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa SACCOS ya Katoro, Geita waliotembelea Bunge  mjini Dodoma kwa mwaliko wa  Mbunge wao wa jimbo la Busanda Lolesia Bukwimba  (wapili kushoto kwake)  Novemba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

Hazina SACCOS yakadhi hati za viwanja ambavyo ni rasmi zaidi kwa 150 kwa wanachama

01

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum (wa pili kulia) akiwasili viwanja vya Mkumbusho ya Taifa mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam wakati wa ufunguzi wa  Mkutano Mkuu wa Mwaka wa siku mbili (Disemba 20-21) wa wanachama wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina, mkutano huo unaongozwa na kauli mbiu isemayo “Viwanja Rasmi Suluhisho la Makazi Bora”. Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Hazina Eligius Mwankenja.   02 Waziri wa Fedha Saada Mkuya...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHAMA WA NHIF MKOANI KIGOMA WAUOMBA MFUKO HUO KUGHARAMIA KIPIMO CHA VINA SABA (DNA)

BAADHI ya wanachama wa mfuko wa Bima ya afya (NHIF) wameutaka mfuko huo kugharamia kipimo cha vina saba (DNA) kwa wananchama wake pamoja na gharama za nauli na posho kwa wanachama wanaokwenda kupata matibabu nje ya vituo vyao vya kazi.
Wanachama hao waliyasema hayo katika kijiji cha Mwamgongo wakati wa kikao cha pamoja baina ya wanachama hao na uongozi wa mfuko wa Bima ya afya(NHIF) Mkoa wa Kigoma.
Nassib Ally mtumishi wa afya katika kituo cha mwamgongo alisema kuwa pamoja na kwamba malipo...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA

Na Editha Karlo-Michuzi TV,Kigoma.
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.

Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani