Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WANAFUNZI WA ST. JOSEPH WACHANGIA CHUPA 125 ZA DAMU MUHIMBILI



  Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya akitoa damu leo jijini Dar es Salaam katika shule ya St. Joseph Cathedral High School zamani ikijulikana Shule ya Sekondari Forodhani. Balozi Msuya ambaye alisoma kwenye shule hiyo mwaka 1975 ni mmoja wa wanafunzi wa zamani waliojitokeza kutoa damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa wanaotibiwa Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Radhia Msuya akiwa na wanafunzi wanaosoma kwenye shule hiyo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

ACT Wazalendo wachangia damu hospitali ya Taifa Muhimbili

9

Muuguzi Mwandamizi Judith Kayombo akichanganya  Damu wakati alipokuwa akimtoa Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba.

Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba akisalimiana na Katibu wa Vijana Jimbo la Ukonga wakati wa uchangiaji Damu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na ikiwa  Chama hicho kikitimiza  Mwaka Mmoja toka kuanzishwa kwa chama hicho (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA).

 Katibu Mkuu Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo Samsoni Mwigamba...

 

9 years ago

Mwananchi

MNH yasaka chupa 240 za damu upasuaji moyo

Wananchi wametakiwa kujitokeza katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), kuchangia damu ili kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo wanaosubiri kufanyiwa upasuaji kuanzia keshokutwa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wachangia benki ya damu

UONGOZI mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Tabora umetembelea Benki ya Damu na kuchangia huduma hiyo kwa wahitaji. Akizungumza baada ya kuchangia damu, Mwenyekiti wa CHADEMA...

 

11 years ago

Mwananchi

Waumini Sabato wachangia damu

Askofu Mkuu wa Kanisa la Adventista wa Sabato Jimbo la Mashariki Tanzania, Mark Malekana ametoa wito kwa Watanzania kujitokeza kuchangia damu ili kupunguza uhaba uliopo hapa nchini.

 

10 years ago

Habarileo

Bodaboda wachangia damu, madawati

Boda boda.UMOJA wa Madereva waendesha pikipiki wilayani hapa, mwishoni mwa wiki ulishiriki katika tukio la kihistoria, la kujitolea kutoa damu katika hospitali ya wilaya ya Serengeti ya DDH sambamba na kutoa mchango wa madawati 10, yenye thamani ya Sh 800,000 kwa shule za msingi za Kambarage na Matare.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Urasimu wakatisha tamaa wachangia damu

MWITIKIO mdogo wa jamii katika uchangiaji damu wa hiari umetajwa kusababishwa na urasimu wa watumishi wa umma katika sekta ya afya, hasa kitengo cha damu salama kutokana na damu hiyo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Vijana wachangia damu wanajeshi Cameroon

Mamia ya vijana nchini Cameroon,wamejitolea kuwapa damu wanajeshi wanaopambana na kundi la Boko Haram kaskazini mwa nchi hiyo

 

10 years ago

Mwananchi

Wafanyakazi Mgodi wa Bulyankulu wachangia damu

Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu Bulyanhulu katika wilayani Kahama, mkoani Shinyanga wameitumia siku ya familia kupima Ukimwi na kutoa damu itakayotumika kwa ajili ya Hospitali ya Wilaya ya Kahama.

 

10 years ago

Michuzi

TPB WACHANGIA DAMU, KUOKOA MAISHA YA WATANZANIA


 Katika kuonyesha kuwa Benki ya Posta Tanzania (TPB), inafanya inatoa huduma za kibenki, lakini pia iko mstari wa mbele kuwajali wateja wake na wananchi kwa ujumla. Katika kutekeleza hilo,  wafanyakazi wa benki hiyo, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Sabasaba Moshingi, wamejitolea damu, "kutunisha" benki ya taifa ya damu na hivyo kuokoa maisha ya watanzania ambapo miongoni mwao ni wateja wake. Zoezi la kutoa damu lilifanyika makao makuu ya benki hiyo barabara ya Samora jijini Dar es Salaam....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani