Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanahabari washinda uonjaji Bia TBL

Untitled

 Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni mshindi wa kwanza, Richard Makore wa gazeti la Nipashe, mshindi wa pili, Mnaku Mbani wa gazeti la Business Times na Denis Fusi wa gazeti la Habari Leo aliyeshika nafasi ya tatu.

Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL)...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Wanahabari washinda uonjaji bia za TBL Mwanza

Umakini
katika kutambua rangi akiuhusisha huyu ni mshindi wa kwanza wa shindano
la Beer Tasting Competition kwa wanahabari (Muonjaji Bora wa Bia) Aidan
Mhando wa Mwananchi Communications akizibainisha bia katika ungwe ya
pili ya na ya mwisho ya shindano hilo. Awali
kabla ya shindano la uonjaji bia,  Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia TBL
tawi la Mwanza Oscar Kilasi alitoa somo kwa waandishi hao juu ya
kuzibaini tofauti za bia kupitia ladha, rangi, harufu na viwango vya
alcohol.

 

11 years ago

GPL

WANAHABARI WASHINDA UONJAJI BIA TBL‏

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam juzi. Wa pili kushoto ni mshindi wa kwanza, Richard Makore wa gazeti la Nipashe, mshindi wa pili, Mnaku Mbani wa gazeti la Business Times na Denis Fusi wa gazeti la Habari Leo aliyeshika nafasi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA

WAANDISHI wa Habari Mkoa wa Mbeya hivi karibuni walifanya ziara ya kutembelea kiwanda cha bia TBL Mbeya ambapo pia walipata nafasi ya kushiriki mashindano ya kuonja bia.
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WASHINDANA KUTAMBUA LADHA ZA BIA ZA TBL, DAR

 Meneja uzalishaji wa TBL, Bw. Charles Nkondola akikabidhi zawadi ya bia aina ya Kilimanjaro Twist kwa mshindi wa tatu wa kutambua aina ya ladha ya Bia za  Kampuni ya Bia Tanzania (TB)L, Aloyce Ndeileko wa This Day, iliyofantika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki Wanahabari wakisikiliza kwa makini masharti ya ushindi ya muomnjaji bora wa ladha za bia za TBL Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Bw. Benjamin Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari...

 

10 years ago

Michuzi

ZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA

 WAHARIRI 22 wa Vyombo vya habari mbali mbali nchini jana walifanya ziara kwenye Kiwanda cha Kampuni ya  Bia Tanzania(TBL) wakiongozwa na Jukwaa la Wahariri Tanzania(TEF).Katika ziara hiyo Wahariri hao walipata maelezo mbali mbali kutoka kwa  Mkurugenzi Mkuu wa TBL,Roberto Jarrin kuhusu hali ya kibiashara ya kampuni hiyo pamoja na bidhaa zinazozalishwa kisha kutembelea mitambo ya kutengeneza Bia.
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...

 

11 years ago

GPL

JE, UNAPENDA BIA ZA BURE?

LEO nichukue nafasi ndugu wananchi kutoa darasa ambalo litawasaidia wengi tu. Lakini haswa darasa hili ni kwa wanaume wanywaji wa pombe na hasa wale wanaoipenda lakini pesa hawana. Kuna wale jamaa zangu ambao wamejiwekea utaratibu wa kupata japo chupa mbili za bia kila siku japokuwa mbongo tee, au kwa Kiswahili cha mjini mkwanja umekataa. Kitu cha kwanza kabisa lazima uhakikishe kuwa unakuwa smat unapoelekea bar au grosary kwenda...

 

10 years ago

GPL

RAHA NA KARAHA BIA YA SITA!

Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. Baada ya kumaliza chupa ya pili kimsingi ndipo mazungumzo ya awali na wanywaji jirani  huanza na haya huwa mazungumzo ya busara, yakihusu muelekeo wa ligi...

 

9 years ago

Vijimambo

HAPA BIA TU KAZI BAADAE

John Sita na Kishai Temba wanasema badala ya kazi  hapa bia tu kiroho safi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani