WANAHABARI WASHINDANA KUTAMBUA LADHA ZA BIA ZA TBL, DAR
Meneja uzalishaji wa TBL, Bw. Charles Nkondola akikabidhi zawadi ya bia aina ya Kilimanjaro Twist kwa mshindi wa tatu wa kutambua aina ya ladha ya Bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TB)L, Aloyce Ndeileko wa This Day, iliyofantika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki
Wanahabari wakisikiliza kwa makini masharti ya ushindi ya muomnjaji bora wa ladha za bia za TBL
Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Bw. Benjamin Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
11 years ago
Dewji Blog03 May
Wanahabari washinda uonjaji Bia TBL

Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni mshindi wa kwanza, Richard Makore wa gazeti la Nipashe, mshindi wa pili, Mnaku Mbani wa gazeti la Business Times na Denis Fusi wa gazeti la Habari Leo aliyeshika nafasi ya tatu.
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)...
11 years ago
Dewji Blog07 Sep
Wanahabari washinda uonjaji bia za TBL Mwanza


katika kutambua rangi akiuhusisha huyu ni mshindi wa kwanza wa shindano
la Beer Tasting Competition kwa wanahabari (Muonjaji Bora wa Bia) Aidan
Mhando wa Mwananchi Communications akizibainisha bia katika ungwe ya
pili ya na ya mwisho ya shindano hilo.

kabla ya shindano la uonjaji bia, Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia TBL
tawi la Mwanza Oscar Kilasi alitoa somo kwa waandishi hao juu ya
kuzibaini tofauti za bia kupitia ladha, rangi, harufu na viwango vya
alcohol.

11 years ago
GPLWANAHABARI WASHINDA UONJAJI BIA TBL
10 years ago
MichuziZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...
11 years ago
Vijimambo
11 years ago
Mwananchi22 Mar
Wajumbe washindana kushangilia bungeni
10 years ago
Mwananchi02 Oct
Washindana kupiga ‘pushapu’ mbele ya Samia
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10