Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waganga washindana na polisi

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Singida lawashikilia waganga wa jadi wakiwa na nyara mbalimbali za serikali

DSC03164

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Singida, ACP, Thobias Sedoyeka.

Na Nathaniel Limu, Singida

JESHI la polisi mkoa wa Singida, limetangaza vita dhidi ya waganga wa kienyeji wasiokuwa na vibali ambao wanajihusisha na kutoa ramli chonganishi.  Jeshi hilo limeanzisha msako mkali kwa waganga hao na kufanikiwa kukamata wanane katika kata moja ya Minga katika manispaa ya Singida.

Akitoa taarifa ya msako huo ulioanza machi 16 mwaka huu saa sita mchana, Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Singida,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waganga wa tiba mbadala Singida wanaotumia nyara za Serikali kupigia ramli chonganishi watakiwa kuzisalimisha Polisi

SAM_2030

Katibu Mkuu wa CHAWAMAMU Mkoa wa Singida, Dk.Tano Mika Likapakapa (wa kwanza kulia)Mwenyekiti wa serikali ya Kijiji cha Lunsanga,Bw.Richard Kisiwa (katikati) na Mkuu wa Kituo kidogo cha polisi Ndago, Bw.Richard Kimolo. SAM_2029 Afisa kilimo wa kata ya Ndago, Bi Perpetua Pius (kushoto) na Mratibu wa Tiba Asilia kutoka Hospitali ya wilaya ya Iramba,Bi Roda Yona(kulia). SAM_2027 Waganga wa tiba mbadala waliovaa mavazi wanayotumia wakati wa shughuli zao. SAM_2024  Maafisa watendaji wa vijiji na wenyeviti wa...

 

11 years ago

Michuzi

Utapeli wachukua sura mpya Iringa, mtandao wa waganga wa kienyeji matapeli wawatapeli wenzao 60 kwa kujifanya maofisa wa polisi

Na  Francis Godwin blog  Iringa .
UTAPELI   sasa  wachukua sura mpya mkoani Iringa badaa ya baadhi ya  waganga wa  tiba asilia (Sangoma) kugeuziana  kibao  wenyewe kwa wenyewe kwa  kuanza  kufanyiana  utapeli wa kutisha  ikiwa ni pamoja na kujifanya maofisa wa  polisi na  kuwatapeli fedha  wenzao  zaidi ya 60.
Imedaiwa  kuwa  waganga  hao matapeli  wana mtandao wao na wamekuwa  wakiwatumia askari  wasio na maadili ya  jeshi la  polisi kwa  kwenda  kuwatisha  waganga  wachanga kwa madai kuwa ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe washindana kushangilia bungeni

>Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete.

 

9 years ago

Mwananchi

Washindana kupiga ‘pushapu’ mbele ya Samia

Wanaume kadhaa wa eneo la Sirari, jana walishindana kupiga ‘pushapu’ mbele ya mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan baada ya kuvutiwa na sera zake.

 

10 years ago

GPL

DAVINA, CATHY WASHINDANA KUKATA MAUNO

Hamida Hassan MASTAA wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ na Sabrina Rupia ‘Cathy’ walinaswa wakishindana kuyakata mauno vilivyo katika sherehe ya kibao kata kiasi ambacho wahudhuriaji wote walipata wakati mgumu kuamua nani mshindi kati yao. Tukio hilo lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Ukumbi wa Mango Garden jijini Dar es Salaam ambapo wasanii hao walikuwa wamekwenda kwenye sherehe ya...

 

10 years ago

Vijimambo

WANAHABARI WASHINDANA KUTAMBUA LADHA ZA BIA ZA TBL, DAR

 Meneja uzalishaji wa TBL, Bw. Charles Nkondola akikabidhi zawadi ya bia aina ya Kilimanjaro Twist kwa mshindi wa tatu wa kutambua aina ya ladha ya Bia za  Kampuni ya Bia Tanzania (TB)L, Aloyce Ndeileko wa This Day, iliyofantika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki Wanahabari wakisikiliza kwa makini masharti ya ushindi ya muomnjaji bora wa ladha za bia za TBL Mpishi Mkuu / Brew Master Kiwanda cha Bia cha TBL, Dar es Salaam, Bw. Benjamin Budigila (kulia), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari...

 

10 years ago

GPL

WAREMBO CHINA WASHINDANA KUTUPIA PICHA MTANDAONI WAKIONYESHA NYWELE ZAO ZA MAKWAPANI

KATIKA hali ya kushangaza mastaa mbalimbali na warembo  nchini China wameamua kutupia picha zao mitandaoni wakionyesha nywele zao za makwapani katika kushiriki shindano la picha za kwapani kwa wanawake. Mwanzilishi wa shindano hilo, Xiao Yue anasema uzuri wa mwanamke si lazima asiwe na nywele kwapani na kuongeza kuwa shindano hilo halimaanishi kuwa wanawake wasinyoe nywele hizo ila nia yake ni kuondoa dhana potofu kuwa nywele...

 

11 years ago

Habarileo

Waganga washauriwa

WAGANGA wakuu na wasimamizi wa vituo vya afya, zahanati na hospitali, wameshauriwa kutumia vyema fedha za wananchi kutoka katika mifuko ya afya, kununua dawa kuziba pengo la ukosefu wa tiba za uhakika kwa jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani