Wanahabari washinda uonjaji bia za TBL Mwanza
Umakini
katika kutambua rangi akiuhusisha huyu ni mshindi wa kwanza wa shindano
la Beer Tasting Competition kwa wanahabari (Muonjaji Bora wa Bia) Aidan
Mhando wa Mwananchi Communications akizibainisha bia katika ungwe ya
pili ya na ya mwisho ya shindano hilo.
Awali
kabla ya shindano la uonjaji bia, Mpishi mkuu wa Kampuni ya Bia TBL
tawi la Mwanza Oscar Kilasi alitoa somo kwa waandishi hao juu ya
kuzibaini tofauti za bia kupitia ladha, rangi, harufu na viwango vya
alcohol.
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog03 May
Wanahabari washinda uonjaji Bia TBL
![Untitled](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/05/Untitled2.jpg)
Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kushoto), akiwapongeza waandishi wa habari washindi wa uonjaji bia za kampuni hiyo katika mashindano yaliyofanyika baada ya kutembelea kiwanda hicho, Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni mshindi wa kwanza, Richard Makore wa gazeti la Nipashe, mshindi wa pili, Mnaku Mbani wa gazeti la Business Times na Denis Fusi wa gazeti la Habari Leo aliyeshika nafasi ya tatu.
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL)...
11 years ago
GPLWANAHABARI WASHINDA UONJAJI BIA TBL
10 years ago
MichuziWANAHABARI MBEYA WATEMBELEA KIWANDA CHA BIA CHA TBL NA KUSHIRIKI SHINDANO LA KUONJA BIA
Katika shindano hilo, Mzoefu Saada Matiku ambaye ni mwandishi wa Chanel Ten aliibuka kidedea kwa kupata alama tano kwa tano ikiwa ni mara ya pili tangu apate nafasi kama hiyo kwenye mashindano ya mwaka juzi.
washindi wengine ni Kenneth Ngelesi wa Tanzania Daima aliyeibuka mshindi wa pili huku Merali Chawe wa Daily news...
10 years ago
VijimamboWANAHABARI WASHINDANA KUTAMBUA LADHA ZA BIA ZA TBL, DAR
10 years ago
MichuziZIARA YA WAHARIRI KIWANDA CHA BIA TBL MBEYA
Meneja wa Kiwanda cha Bia Mbeya, Waziri Jemedari aliwaambia Wahariri...
10 years ago
VijimamboMWANZA WAIKUBALI WINDHOEK WAFURAHIA MPANGO WA MABIBO BIA KUJENGA KIWANDA
Dotto Mwaibale
WAKAZI wa jiji la Mwanza na mikoa jirani ya Kanda ya Ziwa, wamefurahishwa na uwekezaji unaotarajiwa kufanywa na Kampuni ya Bia ya Mabibo (MBL) kwa ajili ya kujenga kiwanda cha bia za Windhoek.
Wakizungumza katika promosheni iliyoandaliwa na kampuni hiyo jijini Mwanza juzi katika ukumbi wa Villa Park...
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://3.bp.blogspot.com/--6X1aAjxjag/VleFURTD9VI/AAAAAAAAXSE/_FLBoaOTXEw/s72-c/WANANCHI-NA-MBOWE-620x308.jpg)
CHADEMA WASHINDA PINGAMIZI LILILOWEKWA NA RPC MWANZA KUHUSU MAZISHI YA ALPHONSE MAWAZO
10 years ago
Dewji Blog02 May
Dk. Mahanga atembelea kiwanda cha TBL Mwanza
![](http://4.bp.blogspot.com/-XjS9tra5_wk/VUOrSO1Pr7I/AAAAAAAA1i8/56Ovqt3aZYw/s1600/1%2BMD%2BTBL.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Roberto Jarrin (kulia) na katibu Mkuu wa TUICO, Boniface G Nkakatisi (kushoto) wakitiliana saini mkataba wa hiyari wa maboresho ya maslahi ya wafanyakazi wa TBL.Katikati ni Naibu waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Milton Mahanga.
![](http://3.bp.blogspot.com/-mPmr_wawb5Y/VUOrR7DvNEI/AAAAAAAA1i4/wsvPMO0umYY/s1600/2.MD%2CTUICO.jpg)
Naibu Waziri wa Kazi,Ajira na maendeleo ya Vijana, Dk.Milton Mahanga katikati, akipokea mkataba wa hiari wa maboresho ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),muda mfupi baada ya kusainiwa jana kati ya...