Wanamgambo wa Kiislam wauawa Nigeria
Wanamgambo hamsini wa Kiislamu wameuawa nchini Nigeria Jumatatu, wakati wakijaribu, kuvuka mpaka kuingia Cameroon
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Wanamgambo waua wanafunzi Nigeria
Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram wametuhumiwa kuua wanafunzi kadhaa nchini Nigeria
11 years ago
BBCSwahili11 May
Wanamgambo walipua dara la pili Nigeria
Wakaazi wa kazkazini mashariki mwa Nigeria wanasema kuwa washukiwa wa kundi la Boko haramu wamelilipua daraja jingine .
10 years ago
BBCSwahili12 Dec
watu 30 wauawa Nigeria
Mashambulio mawili ya mabomu katika mji wa Jos nchini Nigeria yamewaua takribani watu 30.
11 years ago
BBCSwahili31 Mar
Mahabusu 21 wauawa Nigeria
Mahabusu 21 wameuawa walipojaribu kutoroka kutoka kwenye gereza la kitengo maalum huko Abuja Nigeria
10 years ago
BBCSwahili31 May
Nigeria:Watu 29 wauawa msikitini
Watu 29 wameuawa kati mji mkuu wa jimbo la Borno Maiduguri Kaskazini Mashariki mwa Nigeria baada ya mlipuaji wa kujitoa mhanga kujilipua ndani ya msikiti.
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
30 wauawa kwenye mashambulizi Nigeria
Watu 30 wameuawa katika kijiji kimoja eneo la kati mwa Nigeria,jimbo la Plateu katika mzozo kuhusu ardhi na mifugo
11 years ago
BBCSwahili27 May
Wanajeshi 11 wauawa na Boko:H Nigeria
Taarifa kutoka mjini Buni Yadi katika jimbo la Yobe, Nigeria, zinasema kuwa watu 24 wakiwemo wanajeshi 11 wameuawa na Boko Haram
10 years ago
BBCSwahili07 Jul
Watu 25 wauawa Zaria Nigeria
Maafisa wa serikali Kaskazini mwa Nigeria wamesema watu 25 wameuawa katika shambulio la bomu la kujitolea mhanga katika mji wa Zaria.
10 years ago
BBCSwahili16 Oct
Watu 30 wauawa msikitini Nigeria
Watu 30 wamefariki baada ya kutokea kwa milipuko miwili katika msikiti ulio karibu na mji wa Maiduguri.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania