Wanamgambo wavamia kiwanda Cameroon
Maafisa nchini Cameroon wanasema kuwa kumekuwa na shambulizi katika kiwanda kimoja cha raia wa Uchina kazkazini mwa taifa hilo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Marekani yashambulia Wanamgambo wa IS
Ndege za Marekani zimeshambulia wanamgambo wa kundi la Islamic state kaskazini mwa Iraq
10 years ago
BBCSwahili30 Apr
Pakistan:Wanamgambo kifungoni
Wanamgambo wa Taliban waliohusika na shambulizi la miaka mitatu iliyopita dhidi ya Malala Yousafzai wahukumiwa kifungo
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Wanamgambo wapuuza amri ya Ukraine
Wanamgambo wenye mwelekeo wa Urusi wameendelea kuyakalia majengo ya serikali ya Ukraine
11 years ago
BBCSwahili09 Aug
Iraq:Marekani yawashambulia wanamgambo
Wizara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa inaendelea kuwashambulia wanamgambo wa taifa la kiislamu kazkazini mwa Iraq.
10 years ago
BBCSwahili30 Jan
Utafiti: Wanamgambo wafadhiliwa S.Kusini
Wanamgambo wa Sudani Kusini wanaelezwa kufadhiliwa na Kampuni ya Mafuta
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Wanamgambo waua wanafunzi Nigeria
Wanamgambo wa Kiislam wa kundi la Boko Haram wametuhumiwa kuua wanafunzi kadhaa nchini Nigeria
11 years ago
BBCSwahili21 Jun
Wanamgambo wahimizwa kujitolea Iraq
Wanamgambo wa Kishia wafanya mhadhara mkubwa kuonesha nguvu dhidi ya ISIS na Marekani kuingilia kati tena Iraq
11 years ago
BBCSwahili08 Mar
Wanamgambo wa Libya wasafirisha mafuta
Wanamgambo wa Libya wasafirisha wenyewe mafuta ya nchi na wayapeleka Korea Kaskazini
11 years ago
BBCSwahili12 Jun
Wanamgambo watishia kushambulia Baghdad
Wanamgambo wa kiislam ambao wamedhibiti eneo kubwa la Iraq wanasema sasa wataelekeza mashambulio yao katika mji mkuu Baghdad.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania