Wanamichezo wanne watoswa Madola
Wakati msafara wa Tanzania ukiondoka jana kwenda kwenye mMichezo ya Jumuiya ya Madola, wanamichezoi wanne wameachwa kutokana na majina yao kutoonekana Scotland.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi15 Mar
Tupeleke wanamichezo wengi michezo ya Madola
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-AqZEobzNKkw/U7Ef-qzej0I/AAAAAAAFtmc/56JERmnRL40/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Wanamichezo waahidi kuleta medali katika mashindano ya Jumuiya ya Madola huko Glasgow, Scotland.
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-BGk4h7ibQAI/U1-5iHWQnYI/AAAAAAAFeA0/yxKrISM1ZYk/s72-c/PIX1.jpg)
Wanamichezo 45 waagwa rasmi kwa ajili ya kwenda nje kufanya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola
![](http://3.bp.blogspot.com/-BGk4h7ibQAI/U1-5iHWQnYI/AAAAAAAFeA0/yxKrISM1ZYk/s1600/PIX1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-juWxgzWqjC0/U1-5h23Fj0I/AAAAAAAFeAs/UQbP99ROMic/s1600/PIX2.jpg)
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Wanamichezo waliokuwa China kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola warejea nchini huku wakiwa na matumaini makubwa
Baadhi ya wanamichezo waliokuwa nchini China kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya Jumuiya ya Madola wakiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jana jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Leonard Thadeo akisukuma mzizigo ya baadhi ya makocha wa China waliombatana na Wanamichezo wa Tanzania waliokuwa China kwa ajili ya mazoezi ya kujiandaa na mashindano ya Olympic yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu mjini Glasgow Scotland,...
10 years ago
Tanzania Daima23 Nov
Mawaziri watoswa
KAMATI ya uongozi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imependekeza viongozi waliotajwa kuhusika katika kashfa ya kuchota fedha zaidi ya sh bilioni 321 kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow, wajiuzulu. Tanzania Daima Jumapili,...
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Mawaziti saba watoswa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kuwatosa mawaziri saba wanaotajwa kuwa ni mizigo kwa serikali inayoongozwa na chama hicho. Hatua hiyo ya kuwatosa mawaziri hao waliohojiwa na Kamati Kuu (CC), iliyokutana...
9 years ago
Mwananchi08 Nov
47 watoswa viti maalumu CCM, Ukawa
11 years ago
Mwananchi28 Jul
KAMATI MPYA: Bin Kleb, Nyanda watoswa Yanga