Wananchi epukeni na nishati hatarishi kwa mazingira-Prof.Itika
Na mwandishi wetu, Dar es Salaam.WATEAFITI, Watungasera, Wanasheria na makundi mengine ya wataalam wamehimizwa kufanya jitihada ya kweli kuwaepusha wananchi na matumizi ya nishati hatarishi kwa mazingira na badala yake watumie nishati endelevu.Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Profesa Josephat Itika, alisema Watanzania maskini wanalazimika kutumia nishati hatarishi kwa mazingira na kupunguza kipato chao kwa sababu hawapati nishati endelevu.“Watu wenye kipato kizuri ndiyo kwa kiasi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUU WA WILAYA YA ILALA,RAYMOND MUSHI AWAAGIZA WATAALAMU WA MAZINGIRA KUTOA ELIMU UTUNZAJI WA MAZINGIRA KWA WANANCHI
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amewaagiza watendaji na wataalamu na wenye elimu ya utunzaji wa Mazingira kutoa elimu kuhusu utunzanzaji wa mazingira na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi kwa wananchi wote.
Akizungumza leo na Waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo,Mkuu wa Wilaya ya Ilala Raymond Mushi amesema kuwa katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki ndiye Mgeni rasmi katika maadhimisho ya Wiki ya...
10 years ago
Dewji Blog03 Feb
Mama Daniela Schadt aipongeza WAMA kwa kazi wanayoifanya ya kuwasomesha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Na Anna Nkinda – Maelezo
Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imepongezwa kwa kazi inayoifanya ya kuhakikisha watoto wa kike ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi wanapata elimu sawa na watoto wengine.
Pongezi hizo zimetolewa leo na Mke wa Rais wa Shirikisho la Ujerumani Mama Daniela Schadt wakati akiongea na wafanyakazi wa WAMA alipozitembelea ofisi za Taasisi hizo zilizopo jijini Dar es Salaam.
Mama Schadt ambaye ni Mke wa Rais...
11 years ago
Dewji Blog17 Jun
DC Makete atoa rai kwa jamii ya Makete kusaidia watoto yatima na waishio kwenye mazingira hatarishi
Mkuu wa wilaya ya Makete mwenye suti nyeusi (aliyesuka nywele) Mh. Josephine Matiro, mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu Helen Kijo Bisimba (kulia kwa mkuu wa wilaya) wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watoto walioshiriki maadhimisho hayo.
Na Mwandishi wetu
Imeelezwa kuwa ni jukumu la kila mmoja kuwasaidia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi, na si kuiachia serikali ama mashirika yasiyo ya kiserikali peke yao kufanya kazi hiyo
Kauli hiyo imetolewa...
11 years ago
Michuzi16 Jun
MKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
11 years ago
GPLMKUU WA WILAYA YA MAKETE ATOA RAI KWA JAMII YA MAKETE KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA WAISHIO KWENYE MAZINGIRA HATARISHI
10 years ago
GPLWIZARA YAENDESHA KONGAMANO LA WATOTO WA MAZINGIRA HATARISHI
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Watoto wanaoishi mazingira hatarishi wapewa ujuzi
HALMASHAURI zote nchini, zimetakiwa kuona umuhimu wa kutenga fedha katika bajeti zao ili kuweza kusomesha watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi, pia wale ambao hawana malezi maalumu. Ushauri huo umetolewa juzi...
10 years ago
Habarileo19 Feb
'Watoto bado wanakabiliwa na mazingira hatarishi’
TANZANIA bado inakabiliwa na tatizo la watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi ambapo kwa takwimu za hivi karibuni watoto waliotambuliwa kuishi katika mazingira hayo ni 897,913, wanaume wakiwa asilimia 53 na wasichana asilimia 47.
10 years ago
VijimamboKONGAMANO LA WATOTO WANAOISHI KATIKA MAZINGIRA HATARISHI